wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,722
usiseme sawa kirahisi hivyo lifanyie kazi. mishipa ya fahamu inashindwa kupitisha oxygen brosawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiseme sawa kirahisi hivyo lifanyie kazi. mishipa ya fahamu inashindwa kupitisha oxygen brosawa
ndio, kesho nataka niende hospitali.usiseme sawa kirahisi hivyo lifanyie kazi. mishipa ya fahamu inashindwa kupitisha oxygen bro
Pole Sana unaonaje ukafika kituoni kwetu tupo Dar mnazi mmoja,jibu la changamoto yako lipo,ila Ni vema ufanyiwe check up,tubain chanzo chake ndipo uanze TIBA ndugu,kwa Sasa tuna ofa ya vipimo vya mwili mzima kwa TSH 15,000. Karibu uhudumiwe call 0718069047 utapokelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiaje mkuu? Ila huko sijaenda nilienda huko hospitali Ila Kama bado vile ngoja nimalizie hii dozi
Sent using Jamii Forums mobile app
pole hata mimi nilipitia hiyo hali ila nilitoka kujifungua kisha nikashika maji mapema, halafu ninapoish kuna baridi, ila imetoweka yenyewmmmmh nyinyi watu mbona mnanitishia.
Fanya mazoezi haswa ya push ups na kukimbia , Mara 4 au 3 kwa week sii mbaya.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole hata mimi nilipitia hiyo hali ila nilitoka kujifungua kisha nikashika maji mapema, halafu ninapoish kuna baridi, ila imetoweka yenyew
Fanya hata mara 3 au 4 kwa wiki, mwezi ukiisha tu umepona.
Uko mkoa gani?Huu uzi unatugusa wengi, hebu naomba kufamishwa Kuhusu Mlonge... Unapatikana wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app