Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

Sio simama ile ndiiiii ya misuli, kisela tu ili ilete naniliu kidogo aaau au basi....kwaheri bana hapa kama wodini
Kabla hujaondoka umeona hapo miongoni mwa side effect sijui ndo symptoms kwali......eti dudu inapinda🤣🤣🤣.
Nimeshukuru haitokei Kwa wanawake....nyieeee🤣
 
Mkuu samahani lakini hiyo ni ngozi ya uume au tako? Kama ni uume basi wanawake wapewe maua yao maana unakuta mtoto wa watu anajitahidi alambe ngozi kama hyo ili kuonesha upendo.
Nikirudi kwenye mada mkuu pole saana vipele hivyo huwa ni kawaida saana kikubwa jaribu kuwa msafi badili boksa kila baada ya siku moja kwa maana wanaume wanavaa boksa mpka wiki ndio wanabadili.
Lakini pia ni vyema ukawahi hospitalini
 
isijekuwa ni sifilisi upili
 
Acrovir 500mg tb ¾ Qid 77//7
Erythromycin 500mg 7/7
Acrovir Creeem
Tumia Dawa hizo utapona Hao ni Virus's wanatokana na Kufanya Ngondo au kukutana na Maji maji yaliobeba hao Virus (🦠)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…