Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

Kwa mujibu wa maelezo yako na hiyo ni herpes. Inaaminika haitibiki (ni virusi) japokuwa ipo mitishamba ambayo inadaiwa kuwa inatibu hiyo kitu.
Una options mbili, ya kwanza ni kuwa unameza dawa za antibiotics na dawa ya kupaka (acyclovir) kila outbreak inapokutokea. Ya pili ni kuwa unapaka sabuni yenye dawa (medicated soap) mfano detol kwenye hivyo vipele then unakaa nayo bila kunawa.
 
Mi huwa vinanitokea hasa nikipiga nyeto kavu ila baada ya muda vinapotea nakaa miezi mingi sana kukiwa na joto vinatokeaga tena vinajipasua vyenyewe vinatoa maji maji vinakauka. So visikutishe
 
Hivi unayajua maumivu ya deltol kupaka sehemu yenye hali ya kuungua na moto lakini au unasema tu? Maana huyo hivyo ni km vilengelenge vimejaa tumajimaji kwa ndani
Sasa Mkuu kwa mfano angekuwa na kaswende, ungemkataza asichome penadu kisa inauma sana?
 
Hiyo ni Herpes Simplex type 2, ama umekutana na mwanamke alie na ugonjwa huo au umetumia kiwembe kilichotumiwa na mtu mwenye uo ugonjwa...huo ugonjwa hauna tiba ila kuna dawa za kupunguza makali pindi unapotaka kujirudia...ukisikia dalili za huo ugonjwa wanasema umeze vidonge aciclovir kwa wiki moja adi mbili .
 
Wanawake shauri yenu. Unakuta mwanamke Yuko na mwanamme hizi bar za nje huku Kimara, kagiza kakianza unamuona anafungua zipu ya mwanaume na kuanza kula koni bila kuangalia Kama anavipele Kama hivi na vimepasuka vinatoa usaha.
 
Huwa unapitia mlango gani
Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…