min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
🤣🤣 dah.Nigga mwenzako ana ukimwi we umekomaa kuonyesha picha ya mboo zimepinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 dah.Nigga mwenzako ana ukimwi we umekomaa kuonyesha picha ya mboo zimepinda
Acha masikhara!! Kwahiyo mwanzo kaweka dudu live?Tulioangalia mwanzo, mbona kama picha imebadilishwa
100%Acrovir 500mg ¾ Qid 77//7
Erythromycin 500mg 7/7
Acrovir Creeem
Tumia Dawa hizo utapona Hao ni Virus's wanatokana na Kufanya Ngondo au kukutana na Maji maji yaliobeba hao Virus (🦠)
Google lens lazima picha iwe kwenye gallery ukitumia Google lens inakuletea kila data dunianiKumbe wadau mlisave kabisa.
Laah
Bila chenga. Alielewa ile manenp ya wahenga.Acha masikhara!! Kwahiyo mwanzo kaweka dudu live?
Mficha uchi Hazai
Hivi unayajua maumivu ya deltol kupaka sehemu yenye hali ya kuungua na moto lakini au unasema tu? Maana huyo hivyo ni km vilengelenge vimejaa tumajimaji kwa ndanimfano detol
Unapiga nyeto mara ngapi kwa siku?Mi huwa vinanitokea hasa nikipiga nyeto kavu ila baada ya muda vinapotea nakaa miezi mingi sana kukiwa na joto vinatokeaga tena vinajipasua vyenyewe vinatoa maji maji vinakauka. So visikutishe
Sasa Mkuu kwa mfano angekuwa na kaswende, ungemkataza asichome penadu kisa inauma sana?Hivi unayajua maumivu ya deltol kupaka sehemu yenye hali ya kuungua na moto lakini au unasema tu? Maana huyo hivyo ni km vilengelenge vimejaa tumajimaji kwa ndani
Hiyo ni Herpes Simplex type 2, ama umekutana na mwanamke alie na ugonjwa huo au umetumia kiwembe kilichotumiwa na mtu mwenye uo ugonjwa...huo ugonjwa hauna tiba ila kuna dawa za kupunguza makali pindi unapotaka kujirudia...ukisikia dalili za huo ugonjwa wanasema umeze vidonge aciclovir kwa wiki moja adi mbili .Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.
Hili songi linaitwaje? kuna siku naangalia Tv ilikiwa ni nyimbo za kidwanzi zinapigwa nikaona kuna fala limezungukwa na watu halafu anawauliza hilo swali!Ulipita kwa mpalange au kwa bibi nyauu..!?
Huwa unapitia mlango ganiYani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.
Ulichosoma kule juu ndio jina la wimboAisee simjui kumbe ndo jina lake! na wimbo?
Mamy KAcha kutumia mate kulainisha K wakati wa sex