Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali
What-is-Peyronies-disease-What-Does-it-look-like-1-2158095216.jpg
 
Evelyn Salt njoo utoe ushauri, mambo Kwa ushahidi huku🤣
Sasa mgonjwa si hata angeisimamisha ndo apige picha jamani, ni nini lakini????

Hivyo vipele mi najua ni vile tunaitaga vya homa, huwa vinatokea pia mtu akiwa na stress...ila aende hospital akapate uhakika.

Apitie na hii link anaweza pata chochote
 
We unadhani mgonjwa nguvu ya kusimamisha anaitoa wapi kwa mfano🤣🤣🤣🤣
Ashauriwe jamani🤣🤣🤣
 
Sasa mgonjwa si hata angeisimamisha ndo apige picha jamani, ni nini lakini????

Hivyo vipele mi najua ni vile tunaitaga vya homa, huwa vinatokea pia mtu akiwa na stress...ila aende hospital akapate uhakika.

Apitie na hii link anaweza pata chochote
Jambo usilolijua ni kuwa mgonjwa akiumwa ni ngumu kusimamisha na isitoshe ugonjwa upo sehemu nyeti 🤗
 
Back
Top Bottom