Jemedali Mwabukusi amevunja ukimya. Yapo mengi yenye kutukwaza kwenye nchi na vyama hivi tulivyomo.
Kulikoni katiba mpya kutokuwa kipaumbele?
Kulikoni vyama kupewa ruzuku?
Kulikoni malipo ya kufuru kwa wabunge?
Kulikoni wagombea binafsi kuharamishwa?
Ajabu na kweli janja janja hIzi za CCM zimewanasa wengi.
Leo wenzetu tuliokuwa nao lugha zimebadilika. Udenda unawatoka macho kwenye maokoto na madaraka.
"Kulikoni Simba na Yanga kuendeshwa na michango ya wanachama lakini si vyama vya siasa?"
Viva Mwabukusi, Slaa, Lissu, Mdude na wa namna hiyo.
"Tanzania itakombolewa na wenye moyo."
Mlipo tupo.