Viva Mwabukusi, mlipo tupo!

Viva Mwabukusi, mlipo tupo!

Ukiona hivyo ujue Yuko njiani ..na Dr Slaa ataungana nae...wao wanaamini Wana "support" ya wale Viongozi zaidi ya 60 aliosema Dr Slaa...kumbe wanaenda according to the "big plan " ya "deep state"
Waanzishe Movement yao waanzishe Chama chao tunawatakia kila la kheri.

Lakini wasitafute Kiki kwa kukijumlisha CHADEMA kwenye hayo malalamiko yao.
 
Yeye haoni shida tulizozipitia katika kumkomboa Mtanzania haswa kwenye awamu ya tano tumepigwa tumesakwa tumeuwawa tumebambikiwa kesi tumefungwa na wengine hadi leo wako Majela.

Serikali ya mwendazake ilikuwa inatumia mabilioni kuifuta CHADEMA huku ikishirikiana na NCCR na ACTwazalendo leo hii Mwabukusi anatulaumu kwa mkupuo bila kufafanua.
Achana na Mwambukusi, kwa chadema bado ni mtu mdogo sana hata robo ya robo ,effect yake kwa chadema haiwezi kuwepo
 
Watu huwa wanatafutia Kiki CHAUMMA CUF NCCR ACT sio CHADEMA.
 
Yeye haoni shida tulizozipitia katika kumkomboa Mtanzania haswa kwenye awamu ya tano tumepigwa tumesakwa tumeuwawa tumebambikiwa kesi tumefungwa na wengine hadi leo wako Majela.

Serikali ya mwendazake ilikuwa inatumia mabilioni kuifuta CHADEMA huku ikishirikiana na NCCR na ACTwazalendo leo hii Mwabukusi anatulaumu kwa mkupuo bila kufafanua.

Tofautisha kukosolewa na kulaumiwa.

Kumbuka kwenye siasa adui wa adui yako ni rafiki.

Bila kusahau jitihada za ukombozi ni jumuishi.
 
Ukiona hivyo ujue Yuko njiani ..na Dr Slaa ataungana nae...wao wanaamini Wana "support" ya wale Viongozi zaidi ya 60 aliosema Dr Slaa...kumbe wanaenda according to the "big plan " ya "deep state"

Uliona CCM wamemvalia mtu njuga tambua mtu huyo ni tishio na watatumia mbinu zote kumfarakanisha na umma.

Ndiyo kama hivi sasa.
 
Jemedali Mwabukusi amevunja ukimya. Yapo mengi yenye kutukwaza kwenye nchi na vyama hivi tulivyomo.

Kulikoni katiba mpya kutokuwa kipaumbele?

Kulikoni vyama kupewa ruzuku?

Kulikoni malipo ya kufuru kwa wabunge?

Kulikoni wagombea binafsi kuharamishwa?

Ajabu na kweli janja janja hIzi za CCM zimewanasa wengi.

Leo wenzetu tuliokuwa nao lugha zimebadilika. Udenda unawatoka macho kwenye maokoto na madaraka.

"Kulikoni Simba na Yanga kuendeshwa na michango ya wanachama lakini si vyama vya siasa?"

Viva Mwabukusi, Slaa, Lissu, Mdude na wa namna hiyo.

"Tanzania itakombolewa na wenye moyo."

Mlipo tupo.
Hili la vyama vya siasa kupewa ruzuku ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Hili la vyama vya siasa kupewa ruzuku ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Huwezi kuwasikia chadema uchwara wakilipigia kelele hilo. Wako kifursa zaidi.

imhotep hili la ruzuku linaweza kumfikirisha nani zaidi ya hii timu inayoonekana hatimaye kuiongea lugha ya watu?
 
Huwezi kuwasikia chadema uchwara wakilipigia kelele hilo. Wako kifursa zaidi.

imhotep hili la ruzuku linaweza kumfikirisha nani zaidi ya hii timu inayoonekana hatimaye kuiongea lugha ya watu?
Ruzuku ni muhimu kwa uhai wa Chama.
 
Ruzuku ni muhimu kwa uhai wa Chama.

Kuudisha uzalendo na uwajibikaji:

1. Ruzuku ifutwe.
2. Wabunge na mawaziri malipo yawe kama walimu au kada zingine.
3. Wagombea binafsi waruhusiwe

Bila hivyo bado tupo tupo sana.
 
Back
Top Bottom