Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zaidi ya Bandari, labda nyingine iwe kumkatia rufaa Mchungaji Mbarikiwa.
Hatimae ajenda ingine wamepata...
Kuna nini!?
Hakuna kitu....Zile siku 30 ndiyo zinaishia hivyo
Kiukweli, issue ya nusu mkate tuwe kama ilivyokuwa zenj SUK jambo Hilo nalipinga.Tubanane hapa hapa. Unahitajika mtazamo au nguvu mpya.
Mwabukusi for Presidency
Unahofu Slaa &co waliteka mjadala wa BANDARI Kisha wanatokomea kutuacha solemba!!Zile siku 30 ndiyo zinaishia hivyo
Hakuna kitu....
Unahofu Slaa &co waliteka mjadala wa BANDARI Kisha wanatokomea kutuacha solemba!!
Hii nchi inakuja kupata president mwa.....
Wako moto
Mwabukusi angeanzisha Chama chake tu bila ya kukashifu upinzani.
Ukiona hivyo ujue Yuko njiani ..na Dr Slaa ataungana nae...wao wanaamini Wana "support" ya wale Viongozi zaidi ya 60 aliosema Dr Slaa...kumbe wanaenda according to the "big plan " ya "deep state"Mwabukusi angeanzisha Chama chake tu bila ya kukashifu upinzani.
Kama ni hivyo, pia Naunga mkono HOJA 🙏Hapana. Ninamaana hii timu ni timu ya ushindi. Ni timu yenye guts na itamwagika barabarani.
Hii ni tofauti na Ile inayolaumu watanzania kana kwamba wenyewe siyo watanzania.
"Viva Mwabukusi, Mdude, Lissu, Slaa na wa namna hiyo."
Kwa hakika mlipo tupo.
Yeye haoni shida tulizozipitia katika kumkomboa Mtanzania haswa kwenye awamu ya tano tumepigwa tumesakwa tumeuwawa tumebambikiwa kesi tumefungwa na wengine hadi leo wako Majela.Kukosolewa si kukashifiwa. Yale yale ya kuita ukosolewaji ni matusi. Lugha zile zile za ma CCM, kina Chalamila na chawa wao.
Kumbe nini tofauti ya vyama hivi na CCM?
Yani, nimecheka kijinga, kwamba mwambukusi , ndo top wa kuleta mabadiliko ndani ya nchi, hii, , mwambukusi na wenzake wa aina iyo katika kivuli cha sauti ya tz wanafail sanaJemedali Mwabukusi amevunja ukimya. Yapo mengi yenye kutukwaza kwenye nchi na vyama hivi tulivyomo.
Kulikoni katiba mpya kutokuwa kipaumbele?
Kulikoni vyama kupewa ruzuku?
Kulikoni malipo ya kufuru kwa wabunge?
Kulikoni wagombea binafsi kuharamishwa?
Ajabu na kweli janja janja hIzi za CCM zimewanasa wengi.
Leo wenzetu tuliokuwa nao lugha zimebadilika. Udenda unawatoka macho kwenye maokoto na madaraka.
"Kulikoni Simba na Yanga kuendeshwa na michango ya wanachama lakini si vyama vya siasa?"
Viva Mwabukusi, Slaa, Lissu, Mdude na wa namna hiyo.
"Tanzania itakombolewa na wenye moyo."
Mlipo tupo.