Haya
Makamanda mnaruka na kukanyagana πππ₯Fungueni Chama mkisajili nawapa jina kiiteni Single Ajenda Party.
Fungueni Chama mkisajili nawapa jina kiiteni Single Ajenda Party.
Makamanda mnaruka na kukanyagana πππ₯
Chama kipya Cha upinzani kinahitajika.Jemedali Mwabukusi amevunja ukimya. Yapo mengi yenye kutukwaza kwenye nchi na vyama hivi tulivyomo.
Kulikoni katiba mpya kutokuwa kipaumbele?
Kulikoni vyama kupewa ruzuku?
Kulikoni malipo ya kufuru kwa wabunge?
Kulikoni wagombea binafsi kuharamishwa?
Ajabu na kweli janja janja hIzi za CCM zimewanasa wengi.
Leo wenzetu tuliokuwa nao lugha zimebadilika. Udenda unawatoka macho kwenye maokoto na madaraka.
"Kulikoni Simba na Yanga kuendeshwa na michango ya wanachama lakini si vyama vya siasa?"
Viva Mwabukusi, Slaa, Lissu, Mdude na wa namna hiyo.
"Tanzania itakombolewa na wenye moyo."
Mlipo tupo.
Mwabukusi ni NCCR ni bora angeponda NCCR na Vyama vingine vya kwenye Briefcase na sio CHADEMA.Makamanda mnaruka na kukanyagana πππ₯
Thuuuubuuutuu.....Hii nchi inakuja kupata president mwa.....
Wako moto
Fanyeni mapinduzi ndani ya NCCR mumng'oe yule Mchaga.Si lazima kufungua vyama vipya. Hata uchaguzi huru ndani ya vyama huakisi matakwa ya wanachama na hata wananchi kwa ujumla. Au na uchaguzi huru vyamani nao hamtaki hadi kutupa majina ya vyama vya kuanzisha ndugu ?
Kila la kheri.Chama kipya Cha upinzani kinahitajika.
Chama kipya Cha upinzani kinahitajika.
Boniface A. Kajunjumele amekulia Chadema πππ₯πΌMwabukusi ni NCCR ni bora angeponda NCCR na Vyama vingine vya kwenye Briefcase na sio CHADEMA.
....wa za matukio....Hatimae ajenda ingine wamepata...
Zaidi ya Bandari, labda nyingine iwe kumkatia rufaa Mchungaji Mbarikiwa.Hatimae ajenda ingine wamepata...
Chadema ni NCCR iliyochangamka....Boniface A. Kajunjumele amekulia Chadema [emoji23][emoji23][emoji91][emoji209]