Viva Mwabukusi, mlipo tupo!

Ukiona hivyo ujue Yuko njiani ..na Dr Slaa ataungana nae...wao wanaamini Wana "support" ya wale Viongozi zaidi ya 60 aliosema Dr Slaa...kumbe wanaenda according to the "big plan " ya "deep state"
Waanzishe Movement yao waanzishe Chama chao tunawatakia kila la kheri.

Lakini wasitafute Kiki kwa kukijumlisha CHADEMA kwenye hayo malalamiko yao.
 
Achana na Mwambukusi, kwa chadema bado ni mtu mdogo sana hata robo ya robo ,effect yake kwa chadema haiwezi kuwepo
 
Watu huwa wanatafutia Kiki CHAUMMA CUF NCCR ACT sio CHADEMA.
 
Tofautisha kukosolewa na kulaumiwa.

Kumbuka kwenye siasa adui wa adui yako ni rafiki.

Bila kusahau jitihada za ukombozi ni jumuishi.
 
Ukiona hivyo ujue Yuko njiani ..na Dr Slaa ataungana nae...wao wanaamini Wana "support" ya wale Viongozi zaidi ya 60 aliosema Dr Slaa...kumbe wanaenda according to the "big plan " ya "deep state"

Uliona CCM wamemvalia mtu njuga tambua mtu huyo ni tishio na watatumia mbinu zote kumfarakanisha na umma.

Ndiyo kama hivi sasa.
 
Hili la vyama vya siasa kupewa ruzuku ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Hili la vyama vya siasa kupewa ruzuku ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Huwezi kuwasikia chadema uchwara wakilipigia kelele hilo. Wako kifursa zaidi.

imhotep hili la ruzuku linaweza kumfikirisha nani zaidi ya hii timu inayoonekana hatimaye kuiongea lugha ya watu?
 
Huwezi kuwasikia chadema uchwara wakilipigia kelele hilo. Wako kifursa zaidi.

imhotep hili la ruzuku linaweza kumfikirisha nani zaidi ya hii timu inayoonekana hatimaye kuiongea lugha ya watu?
Ruzuku ni muhimu kwa uhai wa Chama.
 
Ruzuku ni muhimu kwa uhai wa Chama.

Kuudisha uzalendo na uwajibikaji:

1. Ruzuku ifutwe.
2. Wabunge na mawaziri malipo yawe kama walimu au kada zingine.
3. Wagombea binafsi waruhusiwe

Bila hivyo bado tupo tupo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…