Vivian Kikii adai hawajashirikishwa msiba wa Mzee wao King Kikii

Angeshirikishwa kungekuwa na mabadiliko yoyote?
 
Mzee Kikii si kaka jela 13 years mali alizikuta kweli

Kuna msanii mkongwe anaitwa Ngu za Viking huyu nyimbo yake maarufu ni ile inaitwa seya aliyoimba na mwanae anaitwa Papii kocha

Pia kuna King kiki nyimbo yake maarufu Sana inaitwa "Kitambaa cheupe".
 
Kwa ushenzi watu watajazana msibani kwake kinafiki wakati anaumwa hawakwenda kumjulia hali na kumpa msaada wa matibabu. Mbaya zaidi wanasiasa watatumia msiba kufanya siasa zao, shame on them
 
Mambo ya aibu haya.

Mzazi wako anafariki unakuja kusema hukushirikishwa.
 
Mi nimeshawaambia ndugu zangu watie tu sokoni wanipe changu nilewee. Unajua kwenye familia kuna watu manipulative sana, wanakuletea zengwe mpaka Dunia nzima wanakuona huna akili.
Dawa yao ndogo, chukua chako halafu hawakuoni tena m.amake zao
 
Wakupe chako kiaje..umri huo unalilia mali za marehemu? Si utafute zako .shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…