Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kuhusu mgawanyo wa mali kama marehemu alikuwa na wanawake wengi hapo na ulozi huwa unatumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeshirikishwa kungekuwa na mabadiliko yoyote?1. Watoto wa mke mkubwa wakiongozwa na mtoto mkubwa Vivian Kikii Wanadai hawajashirikishwa msiba wa Baba yao toka utokee.
2. Ikumbukwe Mzee Kikii alikua na Mke zaidi ya mmoja, ambao Mke mkubwa mtoto mkubwa ndio VIVIAN na Mke mdogo, mtoto maarufu ni JESKA.
RIP King 'Mswati'
BCc: Steve Nyerere - Mratibu wa misiba.
una miaka mingapi? Nyie madogo kina diamond na ali kiba ndio mnawajua tu, wakongwe hamuwajuiDuh hii habari imenipita, huyu mzee ni yule aliyeimba Seya au Kitambaa cheupe maana wananichanganya sana
Duh hii habari imenipita, huyu mzee ni yule aliyeimba Seya au Kitambaa cheupe maana wananichanganya sana
Mzee Kikii si kaka jela 13 years mali alizikuta kweli
Mwanangu nilikuwa na usingizi sana janaUshachanganya madesa tayari... usiwe una comment ukiwa na njaa au usingizi
Asante mkuuKitambas cheupe
Bora ukae pemben kuinusuru roho yako".... Tutatoana roho yarabiiiiii, Kwa mali alizoacha baba...." By Ottu Jazz.
Full stop!
Yeah!Bora ukae pemben kuinusuru roho yako
hajapa umaarufu siku zote anataka apatie umaarufu msiba wa mshua, ALITAKIWA AJISHIRIKISHE SIYO ASHIRIKISHWE!1. Watoto wa mke mkubwa wakiongozwa na mtoto mkubwa Vivian Kikii Wanadai hawajashirikishwa msiba wa Baba yao toka utokee.
Huyo siyo Nguza Viking aka Babu Seya.Mzee Kikii si kaka jela 13 years mali alizikuta kweli
hakukaa jela,umemfananishaPlus jela miaka 13
Kitambaa cheupeDuh hii habari imenipita, huyu mzee ni yule aliyeimba Seya au Kitambaa cheupe maana wananichanganya sana
Wakupe chako kiaje..umri huo unalilia mali za marehemu? Si utafute zako .shameMi nimeshawaambia ndugu zangu watie tu sokoni wanipe changu nilewee. Unajua kwenye familia kuna watu manipulative sana, wanakuletea zengwe mpaka Dunia nzima wanakuona huna akili.
Dawa yao ndogo, chukua chako halafu hawakuoni tena m.amake zao