Viwanda Gani Tanzania Vinatengeneza vifaa vya kujikinga (PPEs) kama barakoa, glovu n.k?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Mojawapo ya changamoto kubwa zilizoletwa na baa la virusi vya Corona ni ukosefu au upungufu wa vifaa vya kujikinga binafsi. Glovu, kofia, barakoa, gauni kinga ni baadhi tu ya vifaa hivi.

Mahitaji ya vifaa hivi duniani yameongezeka sana. Katika hali ya kufa kufaana ni viwanda gani Tanzania vinatengeneza PPEs hizi na vinachukua hatua gani kutumia nafasi hii kufanya ugavi ndani na nje?
 
Metl ya Dewji family!
 


Serikali yako hii unayoipenda upeo. Inasubiria misaada toka Uchina kwa akina Jack Ma.
 
Najua kimoja cha wahindi wahindi wanatengeneza mask tu na walikuwa wanalalamika hawana raw materials.

Sidhani kama Serikali kmefanya jitihada zozote za kuongeza uzalishaji au kupush.
Hata kwneye kuzakisha sanitizers Walitakiwa wawaombe viwanda vya beers/spirit kama breweries wazalishe hizi ila wapo kimya.

Ninachokumbuka tu naibu waziri wa viwanda alisema kuwa hawatazuia ndege za china kuja kwa sababu china ni rafiki zao wa karibu sana. Kilichokuja kutokea China kafunga mipaka yake baada ya kuona case nyingi zinaletwa na hasa waafrica
 
Mchina simpendiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…