Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

Na wewe unapiga Ramli..!??
Kama una details ruonyeahe kiwanda gani kilijengwa mwaka gani... Huyo jamaa anaweza kuwa asilimia fulani ya ukweli maana nakumbuka reli zetu moja ya mkoloni na Nyerere alijenga moja na tukakuta reli ya uhuru huo ya Tazara
 
Huyo hajitambui. Walichokiacha wakoloni ni reli ya kati, Dar-Mwanza-Kigoma.
Sio kweli. Acha chuki. Wazungu waliacha Viwanda vingi Sana.
Tanganyika Packers, Maziwa Arusha na Dar es salaam, Philips Arusha, Moshi Tannaries, Emco Tanga, Tanganyika Tea Blenders, Tanganyika Coffee Curing, UFI (Ubungo Farm Implements), National Milling, Tanzania Breweries, General Tyre East Africa, Fibre Board Arusha list inaendelea.
 
Tanganyika Perker Mbeya
ZZK Mbeya
ISoap Mbeya- naona sasa inamilikiwa na Metl na haijafunguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wangu WA majukwaani saizi ni muda wa kitembea na Pacha lako ili kupunguza stress za watu Tutahakikisha tunamjazia strategies za kuboresha maisha ya watanzania...

Saizi Maprinter tayari ndege ikitua Tu na dhana ya ujamaa itatumika ni Raha tupu kuanzia na serikali ya VIWANDA kufufua vyote Kwa fedha zetu wenyewe wenye viwanda vya stress watatujoin wenyewe..

Saizi ni kuchota hela (BOT/HAZINA) kila MTU alipwe laki 500000 Kwa mwezi fungua viwanda vyote vilivyokufa walipe Kodi na gawio KAZI imeisha pokea mishahara usifanye KAZI umetaka mwenyewe..

Na wewe unapiga Ramli..!??
Kama una details ruonyeahe kiwanda gani kilijengwa mwaka gani... Huyo jamaa anaweza kuwa asilimia fulani ya ukweli maana nakumbuka reli zetu moja ya mkoloni na Nyerere alijenga moja na tukakuta reli ya uhuru huo ya Tazara
Rais wangu WA majukwaani saizi ni muda wa kitembea na Pacha lako ili kupunguza stress za watu Tutahakikisha tunamjazia strategies za kuboresha maisha ya watanzania...

Saizi Maprinter tayari ndege ikitua Tu na dhana ya ujamaa itatumika ni Raha tupu kuanzia na serikali ya VIWANDA kufufua vyote Kwa fedha zetu wenyewe wenye viwanda vya stress watatujoin wenyewe..

Saizi ni kuchota hela (BOT/HAZINA) kila MTU alipwe laki 500000 Kwa mwezi fungua viwanda vyote vilivyokufa walipe Kodi na gawio KAZI imeisha pokea mishahara usifanye KAZI umetaka mwenyewe..

kibo match(viberiti) -moshi
motex_moshi

Mutex kiko Musoma na si Mwanza

Nakupuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanganyika Perker Mbeya
ZZK Mbeya
ISoap Mbeya- naona sasa inamilikiwa na Metl na haijafunguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bora hata vilivyokufa
Viwanda vyenyewe vilikua regional imbalance angalia hapo hakuna kiwanda lindi, mtwara, wala songea inshort ukanda tu ndo ulitawala hapo
Kusini ilitengwa snaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na akili mbovu kijana. Kiwanda kuwa mbeya au Dar haimaanishi kiliajiri watu wa mikoa husika tu ...kiwanda kinajengwa mahali ambapo kuna malighafi za kutosha , Umeme na soko pia kupunguza gharama za usafirishaji.

-
 
ZZK (zana za kilimo) - Mbeya
Valmet (matrekta ) - Dar
 
Kuna sehemu unatakiwa kubadilisha:

Kanga iliyotengenezwa Tanzania ilikuwa na ubora wa hali juu kuliko ya China na India na bei yake ilikuwa juu zaidi. Watu walilazimika kununua vitu vya China na India kwa sababu ya umaskini (walifuata za bei ndogo japo na ubora ulikuwa wa Chini).

Tairi za General tyre zilikuwa za ubora wa hali ya juu kuliko za China, India na Japan. Management ya kisiasa iliua kiwanda kutokana na uelewa mdogo wa wasimamizi.
 
Umesema uwongo kabisa. Viwanda hivyo vilivyoorodheshwa vilijengwa na serikali ya Mwalimu Nyerere, na siyo vya kurithi. Taja angalao viwanda 10 tu tulivyovirithi kutoka kwa wazungu.

Tanganyika wakati wa ukoloni haikuwa na viwanda kwa sababu wakoloninkwenye upangilio wa uchumi lilikuwa ni eneo la mashamba, na Kenya ilikuwa ndiyo sehemu ya viwanda.
 
Alichokifanya Magufuli katika sekta ya viwanda hakifiki hata 5% ya kile kilichofanyika wakati wa Mwalimu. Kwenye hiyo orodha bado vingi havipo. Kulikuwa na viwanda katika sekta zote.
 
Viliachwa na wakoloni hivyo
Wewe ni kichaa au hujaelemika?

Hakuna kiwanda hata kimoja katika hivyo kilichojengwa na wakoloni. Muwe mnasoma na kuelewa. Hii elimu ya kujua tu kusoma na kuandika inakufanya kuwa mjinga mwenye uwezo wa kusoma na kuandika.
 
Soma history vizuri utajua hakuna kiwanda kilichojengwa na Nyerere vyote vili taifishwa!!!.. Cabinet ya Nyerere ndio ilikuja kuua vyote
Hopeless kabisa. Una elimu ya kiwango gani? Maana wewe ni mbumbumbu hasa.

Karibia Viwanda hivyo vyote vilijengwa na serikali awamu ya kwanza.
 
Ndio umemaliza hiyo historia yako? POLE SANA KIJANA!
Hakuna anachojua. Mpuuzeni atakuwa wa hivyo hivyo milele. Uwendawazimu humpata mtu au kwa kuugua magonjwa ya akili au kuupenda na kuukumbatia upumbavu.
 
Soma history vizuri utajua hakuna kiwanda kilichojengwa na Nyerere vyote vili taifishwa!!!.. Cabinet ya Nyerere ndio ilikuja kuua vyote

Mfumo wa uchumi wa kimashariki (Kijamaa) kupitia Azimio la Arusha uliopora viwanda na Mali nyingi za matajiri na serikali kujimilikisha na kuviendesha.

Bahati mbaya viliendeshwa kwa kupangiwa bei na serikali bila kujali gharama za uzalishaji (Production cost) Vingi vilifeli mikononi mwa Nyerere mwenyewe! Na ilibidi vipewe ruzuku toka kwenye kodi.

Njaa ya miaka ya mwisho Sabini na Vita ya Uganda na Tz vilifirisi kabisa nchi. Nyerere akaenda kwa mabeberu kuomba mkopo
Walimpa masharti yafuatayo;

i. Kujiondoa serikali kuzalisha,kuagiza na kuingiza bidhaa. Iwe inakusanya Kodi tu.

ii.Kuwepo na soko huria. Bei za bidhaa zitokane na ushindani na mahitaji ya soko. (Serikali ijiondoe kupanga bei)

iii. Ashushe thamani ya shilingi

iv. Kuwepo uchangiaji katika huduma za kijamii baina ya serikali na wananchi ( Cost sharing) ili kuipunguzia mzigo serikali.

vi.Apunguze idadi ya watumishi wa umma na mishahara yao.

vii.Abinafsishe viwanda alivyopora na vile alivyopora.

Nyerere aliyakataa masharti huku akinukuliwa kwamba anayedhani Tz itayakubali masharti hayo ni mwendazimu akiwa ziarani Uingereza (Scotland?). Mwisho alienda Mara ya pili mezani IMF na WB wakasimama kwenye masharti yao.

Nchi ilikuwa taabani na Nyerere ikabidi ang'atuke kulinda msimamo na heshima yake.

Mwinyi akachukua nchi na kutekeleza masharti.
 
Hata kama unamchukia Nyerere kwa sababu zako binafsi unazozijua wewe mwenyewe siyo vyema kusema Nyerere alipora viwanda. Kwa hiyo una maana katika Tanzania yote hii unayoijua wewe (whether ni kijana wa sasa au ni kijana wa zamani) hakuna viwanda vilivyojengwa baada ya Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961 na baadae kuwa Tanzania 1964? Hebu taja viwanda vyote vilivyojengwa wakati wa ukoloni (Germany & British colonial rule) na mimi nitakuletea list yote ya viwanda vilivyojengwa baada ya Tanganyika kupata uhuru wake. Speak with data or evidence otherwise ni porojo za mitandaoni tu.
 
Soma vizuri mkuu, sikutaja Nyerere kuwa alipora Mali.

Ni mfumo wa uchumi ambao tuliu-adopt miaka michache baada ya Uhuru. Ujamaa (Socialism) ambao ni nadharia ya kisiasa na kiuchumi ambayo inatete/sisitiza njia za uzalishaji Mali,usambazaji wake na uuzaji/ubadilishanaji wake umilikiwe na jamii ama serikali kwa niaba ya wananchi/jamii nzima.(Collective ownership of Property)

Ni kinyume na ubepali (Capitalism) tuliokuwa nao kipindi Cha ukoloni na muda mfupi baada ya Uhuru ambao unasisitiza umilikaji mali binafsi.(Private ownership of property)

Ndicho kilichofanyika, viwanda,Mali,majengo vilichukuliwa/porwa toka watu binafsi na kuwa mali ya umma/Taifa (Utaifishaji- nationalization)

N:B angali majengo/nyumba nyingi za NHC zina majina ya walizozijenga vivyo hivyo kwenye viwanda.

Hata serikali ya Nyerere pia ilijenga viwanda. Issue ilikuwa namna ya uendeshaji chini ya mfumo wa kisiasa tuliokuwa nao. Ambao haukutoa nafasi viwanda kuwa endelevu ( Sustainable)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…