Viwanda vya kusafisha mafuta Barani Ulaya vyafungwa kwa sababu ya ushindani kutoka kwa kiwanda cha Dangote

Hizo sources niliziweka hapo zina majibu yote . Na kwa uelewa zaidi kuna documentary ya Dangote Refinery ipo YouTube . Ukiitazama utapata majibu ya maswali yote uliyonayo. Usiandikie mate wakati wino upo.
 
Dangote ni kichwa.
Fahari ya Afrika
Ametikisa Dunia ( downstream oil industries ) kwa kujenga refinery ya kisasa kabisa yenye uwezo wa mapipa 650 elfu kwa siku
 
Kikwete alikuwa mbali sana kwenye fikra tunduizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…