rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Tulikuwa na Tipper wakaiua.Ilitakiwa na sisi Tanzania tuwe na Dangote hata watano hivi kwenye sekta muhimu za uchumi, badala ya kuwakumbatia Waarabu, Wachina na Wazungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa na Tipper wakaiua.Ilitakiwa na sisi Tanzania tuwe na Dangote hata watano hivi kwenye sekta muhimu za uchumi, badala ya kuwakumbatia Waarabu, Wachina na Wazungu.
Hizo sources niliziweka hapo zina majibu yote . Na kwa uelewa zaidi kuna documentary ya Dangote Refinery ipo YouTube . Ukiitazama utapata majibu ya maswali yote uliyonayo. Usiandikie mate wakati wino upo.Refinery ya Dangote inazalisha BPD ngapi na Ulaya inatumia BPD ngapi?
Dangote akizalisha mafuta at maximum capacity, achana na sasa bado hajakamilisha. Akizalisha at full capacity mafuta yake hayaitoshi Algeria ikiwa peke yake.
Sasa anawezaje fanya Ulaya wafunge refineries? Ulaya since hata Dangote hajaanza kujenga refinery wako kwenye decline ya uzalishaji na matumizi ya mafuta, kuna nchi Ulaya hapo mafuta waliyokuwa wanatumia early 2000s ni mengi kuliko sasa.
Mafuta ya Dangote yote hayazidi 30% ya matumizi ya Ujerumani peke yake. Dangote anaweza teka soko la West Afrika kama Ghana akawauzia na akafanya vizuri sana kwa Nigeria ila sio kufanya refineries za Ulaya kufungwa. Hata asingejenga bado zingefungwa zaidi na zaidi na sio kisa yeye.
Ulaya refining capacity wengine sio wachimbaji, gharama kubwa meli kubeba crude kupeleka Ulaya yasafishwe kisha yaende sokoni, Ulaya consumption inapungua, COVID-19 iliua sana biashara, Urusi ina vikwazo, Middle East ndio kabisa wanajitegemea. Dangote anakuja kwa mbali