Viwanda vya kusafisha mafuta Barani Ulaya vyafungwa kwa sababu ya ushindani kutoka kwa kiwanda cha Dangote

Viwanda vya kusafisha mafuta Barani Ulaya vyafungwa kwa sababu ya ushindani kutoka kwa kiwanda cha Dangote

Refinery ya Dangote inazalisha BPD ngapi na Ulaya inatumia BPD ngapi?

Dangote akizalisha mafuta at maximum capacity, achana na sasa bado hajakamilisha. Akizalisha at full capacity mafuta yake hayaitoshi Algeria ikiwa peke yake.
Sasa anawezaje fanya Ulaya wafunge refineries? Ulaya since hata Dangote hajaanza kujenga refinery wako kwenye decline ya uzalishaji na matumizi ya mafuta, kuna nchi Ulaya hapo mafuta waliyokuwa wanatumia early 2000s ni mengi kuliko sasa.

Mafuta ya Dangote yote hayazidi 30% ya matumizi ya Ujerumani peke yake. Dangote anaweza teka soko la West Afrika kama Ghana akawauzia na akafanya vizuri sana kwa Nigeria ila sio kufanya refineries za Ulaya kufungwa. Hata asingejenga bado zingefungwa zaidi na zaidi na sio kisa yeye.

Ulaya refining capacity wengine sio wachimbaji, gharama kubwa meli kubeba crude kupeleka Ulaya yasafishwe kisha yaende sokoni, Ulaya consumption inapungua, COVID-19 iliua sana biashara, Urusi ina vikwazo, Middle East ndio kabisa wanajitegemea. Dangote anakuja kwa mbali
Hizo sources niliziweka hapo zina majibu yote . Na kwa uelewa zaidi kuna documentary ya Dangote Refinery ipo YouTube . Ukiitazama utapata majibu ya maswali yote uliyonayo. Usiandikie mate wakati wino upo.
 
Dangote ni kichwa.
Fahari ya Afrika
Ametikisa Dunia ( downstream oil industries ) kwa kujenga refinery ya kisasa kabisa yenye uwezo wa mapipa 650 elfu kwa siku
 
Kikwete alikuwa mbali sana kwenye fikra tunduizi
 
Back
Top Bottom