Viwanda vya unga vyafungwa kufuatia ukosefu wa mahindi

Viwanda vya unga vyafungwa kufuatia ukosefu wa mahindi

Ninyi hamna uwezo wa kufanya lolote lile, hata Uhuru akiamua kuwachapa viboko kila siku asubuhi na jioni, hamfanyi lolote. Shida ya njaa imekuwepo toka mpate Uhuru wenu, watu wameendelea kufa since then, hamjawahi kufanya lolote. Hakuna wakati Serikali ya Kenya imevuruga uchumi kama sasa hivi, lakini bado mnakodoa macho tu, jaribu kushawishi mapinduzi usikie *Kikuyu Nation* litakavyo mujibu, hiyo ndio matokeo ya ukabila, endeleeni kuvumilia.
Mimi ni Mkenya mimi ndio najua historia ya Kenya. Wewe hujui asilimia ishirini ya ninachokijua kuhusu Kenya. Ninarudia, serikali ya Kenya inajua vizuri kwamba njaa hasa Nairobi itawang'oa mamlakani. Hebu nikupe mfano. Wakati wa serikali ya nusu mkate, yaani kati ya Raila na Kibaki, kulikuwa na uhaba wa unga na bei pia ilikuwa imepanda sana, nafikiri ilikuwa mwaka wa 2011. Watu walikuwa hawana unga si Turkana tu bali pia maeneo ya Town na Cities. Raila ambaye alikuwa waziri mkuu wakati huo ilibidi aambie watu jinsi atakavyoshusha bei ya unga, na kweli alivyosema serikali ilishusha bei na watu wakatulia. Hizo video zipo youtube. Pia 2017 kulikuwa na hio shida lakini serikali iliimport kutoka Mexico kwa hivyo Wakenya hawakuumia. Serikali walirekebisha bei ya unga. Unadhani njaa inajua Mkikuyu au Mjaluo?

Duuu middleincome iyooooooo hahahahaha sijawai waza kwamba hadi unga wa ugali kuna sehemu unaadimika??? Kenya safari yenu ndefu sanaaaa
 
Na bado hapo mchina hajaanza kuwapruni na SGR ya diseli kweli Kenya hatari.
 
Nchi yetu nusu ni desert, lakini tunawashinda kwa kila kitu isipokuwa ukulima wa mahindi. Hauna jambo la kujisifia.
Ninalo Anko.. Kutokua na njaa na kutowai kuona upungufu wa chakula ni kitu kikubwa Anko kuna nchi miaka na miaka njaa lazma itokee ila wao wapo bize kulima maua sehem ambayo wangelima mahindi Kenya isingekua inaingia kwenye habari za aibu ka njaa tena karne hiii chaaa... Mnatia aibu
 
Nadhani sehemu kubwa ya ardhi iko held na watu wachache ambao hawana haja ya kulima
 
VIWANDA vya kusaga unga wa mahindi katika maeneo la Magharibi na Kati vimesitisha shughuli kutokana na ukosefu wa mahindi.

Hii inatokana na hatua ya serikali kuchelewa kutoa magunia milioni 2 ili kukabiliana na makali ya njaa nchini.
Tayari viwanda 10 vimefungwa kwa muda na wafanyakazi kuagizwa kwenda likizo ya lazima kutokana na ukosefu wa mahindi.

“Hatujakuwa tukipata mahindi ya kutosha sasa tumeamua kufunga viwanda,” akasema msimamizi wa moja ya viwanda vilivyoathiriwa.
Alisema karibu asilimia 80 ya viwanda vimesitisha operesheni kutokana na uhaba wa mahindi.

Viwanda vilivyoathiriwa zaidi viko katika maeneo ya Bungoma, Busia, Kisumu, Narok, Kajiado na vingine vinne katika eneo la Kati.
Uhaba wa mahindi umesababisha kuongezeka kwa bei ya unga na umesababisha na ukame ulioshuhudiwa miezi michache iliyopita.

“Viwanda vilivyoko katika maeneo ya Eldoret, Moi’s Bride na Kitale bado vingali na mahindi lakini yataisha ndani ya miezi miwili,” akasema Bw David Kosgei, msimamizi wa kiwanda cha nafaka mjini Eldoret.

Viwanda vitano; Mombasa Millers, Unga, Pembe, Dolar na Kitui Millers vimesalia na mahindi yatakayodumu kwa wiki mbili tu.

Serikali ilikuwa imeahidi kutoa magunia milioni mbili ili kukinga Wakenya dhidi ya bei ya unga wa mahindi ambayo inazidi kupanda. Kilo mbili za unga wa mahindi zinauzwa wka kati ya Sh115 na Sh130 ikilinganishwa na Sh80 wiki chache zilizopita.
Bei ya gunia moja la kilo 90 imepanda kutoka Sh2,600 hadi Sh3,200 katika eneo la North Rift.

Kulingana na waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri, viwanda vya kusaga nafaka vilifaa kuuziwa jumla ya magunia milioni mbili kwa kati ya Sh2,500 na Sh3,000.

Lakini watumiaji wa unga wa mahindi sasa wanataka waziri kuelezea Wakenya kiwango cha magunia ya mahindi yanayohifadhiwa katika Hifadhi ya Mazao na Nafaka (NCPB).
Watumiaji pia wamehimiza serikali kuchukua hatua za haraka kunusuru zaidi ya Wakenya milioni 2.2 wanaokabiliwa na makali ya njaa.

“Waziri anafaa kujitokeza na kuwaeleza Wakenya kiasi cha mahindi yaliyosalia. Hatuwezi kuendelea na mchezo wa pata potea na maisha ya Wakenya,” akasema James Maina, mfanyabiashara mjini Eldoret.

Serikali imeshikilia kuwa haitaagiza mahindi kutoka mataifa ya kigeni.

Tumewaambia waje waongee na magufuli lakini hawasikii. Wanajifanya haa sisi tutatafuta mahindi Zambia haya sasa mbona hayatoshi?
 
Serikali ya Kenya inaeza penduliwa wakati wowote Unga ikikosekana. Hakuna jambo linaloweza fanya serikali ya Kenya kuangushwa chini haraka kama ukosefu wa unga. Serikali nadhani washaagiza kutoka Mexico. Wanajua Wakenya hawataki mchezo na ugali.

Ahaaa haaa haaa
Ongea na huyu jamaa yako blietzkrieg.
 
Nchi yetu nusu ni desert, lakini tunawashinda kwa kila kitu isipokuwa ukulima wa mahindi. Hauna jambo la kujisifia.

Ahaaa haaa haaa
Kipimo cha kushinda kila kitu ni kushiba. Kujitosheleza kwa chakula ni hatua muhimu. Huwezi sema najitosheleza wakati una watu wanakufa njaa.
 
Nchi yetu nusu ni desert, lakini tunawashinda kwa kila kitu isipokuwa ukulima wa mahindi. Hauna jambo la kujisifia.
Katika hili wala usitoe excuse ya "desert", Galana kulalu peke yake inatosha kumaliza tatizo la upungufu wa mahindi. Kenya inamatatizo mengi sana, hili la njaa ni moja kati ya matatizo mengi yanayoikabili Kenya. Sababu kubwa ya matatizo ya Kenya ni Mzee Jommo Kenyatta kukumbatia uchumi wa kibepari ambao umewafanya wakenya kuishi kama Wanyama, hakuna anayejali maslahi ya taifa wala ya mtu Mwengine. Ni kichekesho kwa wakenya kudai kushindwa kuzalisha mahindi ya kutosha kwasababu ya ukame, lakini wanajisifia kuzalisha chai duniani, vipi nchi ambayo ni jangwa iongoze kwa uzalishaji wa chai?
 
All Kenyans are pathetic except Wanyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi wetu hatuli ugali,
It's time black Africans waanze kushift from old age foods like ugali sasa.
KunA Maisha nje ya augali
Toa sasa solution mle nini substitute? Mchele? Ngano? Uwele? Mtama? Nyama?

Sababu katika hizo sources zote hapo juu 80% ya though little consumption you are importing mainly from Tanzania ni bora hata maindi mnazalisha kwa wingi ukilinganisha na other sources of food.
 
Back
Top Bottom