Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

Waje na TPDF wachangishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbn uku hawaji...???
 
Waje na TPDF wachangishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbn uku hawaji...???
Msimamizi wa shughuli za mwenge ni Local government authorities. (LGA)

TPDF sio sehem ya LGA kama ilivyo kwa taasisi nyingine zote za serikali. Mbona hujasema kuhusu TRA, LATRA, TPA, TARI, TANESCO na nyingine? Hawa nao habar za mwenge hawazijui

Jaribu kufuatilia vitu kabla ya kusema, hata hao TPDF wana michango yao isiyogusa kabisa taasisi nyingine.
 
Noted.
 
Mimi nasubilia mtu aje kunidai pesa ya mwenge aone.....ili suala linahitaji mtu wa kafara
 
Mimi nasubilia mtu aje kunidai pesa ya mwenge aone.....ili suala linahitaji mtu wa kafara
Wewe unasema hivi kwa sababu haumo kwenye "Line of Command".

Ungekuwa kwenye ile line, wala hata usingeweza kubwabwaja hivi. Fuatilia watu walioko kwenye hii line utakuta wanatoa bila kupenda, including baadhi ya wafanyabiashara; Namaanisha wafanyabiashara na sio wachuuzi.

Kama haupo kwenye huo mnyororo, relax, no body will bother you.
 
Ina maana dakika hii umeisha nifahamu na kazi yangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...hii ni Jf ,ujuaji utakuponza
 
Unazingua Wewe achana na Mambo ya Mwenge
Wewe ni Adui mkubwa wa Taifa Letu
 
Imetosha sasa. Mwenge upelekwe makumbusho ya taifa.
Hawawezi maana mwenge ndio tambiko/uchawi unaotumika kufunga akili za watanzania. Ndio maana kila mwaka hupitishwa kila kata nchi nzima ili ku renew (kuhuisha) tambiko.

Mwenge ni ushetani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…