Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Dahhhhh baada ya miaka 20+ kazini ndo unafika laki Tisa
 
Ndio ujue utumishi wa kibongo ni utumwa , yani mtu analipwa mshahara wa house girl, lakini ana nyodoooooo, na kwa wanaume unakuta hadi anamchepuko na anahonga vile vile , watanzania kwakweli ni ma genious how on earth unaishi kwa laki tatu for God sake
 
kwahyo ulitaka tufe au? mnazungumzia mishahara ila mnajua idadi ya hao wanaopokea.. mmebahatika hapo mlipo shukuruni Mungu, watu tunasugua na 150k na hatufi and is the least we can get
 
kwahyo ulitaka tufe au? mnazungumzia mishahara ila mnajua idadi ya hao wanaopokea.. mmebahatika hapo mlipo shukuruni Mungu, watu tunasugua na 150k na hatufi and is the least we can get
Pole mkuu sijasema ufe ndiomaana nikasema nyie ni Genious 150K bado upo tu loh. Wakati mbunge analipwa zaidi ya 15 M kwa mwezi bado analalamika anataka alipwe Dola
 
Waalimu binafsi sina huruma nao kabisa ni mamluki waliokubali kutumika kuhalalisha udikiteta nchini
 
Mkuu

Mkuu,Kuna kada za afya nao wafahamu Wana Manisha ya kawaida Sana,pia kuna walimu wanamiliki maghrofa mjini ndugu yangu,Manisha mazuri ya mtumishi WA kawaida hayatokani na kiasi cha mshahara,Bali mipango e.g investment n.k
Maghorofa?Duh.
 
Waheshimu sana walimu wako yaani utoke D1 hadi F1 E imepotelea wapi ?
OOH! Hahahaa thanks ni kweli hapo niliteleza, Alphabatical order toka D tunaingia E daa! Zamani nyingi sana toka nisomehayo aisee! Hata hivyo sijawadharau hapo nimewapandisha cheo kwa mserereko!
 
Halafu unategemea utaendesha kuna walimu

Halafu unategemea utaendesha gari siku 1?
Nenda mashuleni uone magari na pia wengi wamejenga. Tatizo sio mshahara ..tatizo ni unajiongezaje nje ya mshahara?
Vijana wengi wanapenda kupata kazi sehemu zenye ofisi nzuri apige selfie na aishi maisha ya kuiga. Walimu wengi wanaishi maisha real na sio wavaa vipusa..nadhani hii inachangiwa na mazingifa ya kazi wanarukaruka na madogo muda mwingi wanasahau kupigilia mavazi. Ambapo kwa watu wasiojua life wanahisi ukivaa vizuri ukawa na iphone na crown basi umetoboa. In reality walimu wana muda wa kutafuta oesa nje ya kazi na waliofanya hivo wametoboa sana. Kazi unayofabya ina mchango kidogo katika hali yako ya maisha. Unaweza kulipwa 5m na ukaimalizia kwenye bata. Wakati kuna mtu analipwa 500k na anazifanyia mambo ya maana.
Walimu tatizo lao majungu tu..wasioendekeza majungu wanatoboa sanaaa
 
Dahhhhh baada ya miaka 20+ kazini ndo unafika laki Tisa
Hiyo ni kwa watumishi wote serikalini.

Hakuna kuchekana.

Sasa sijui kwanini walimu utafikiri sijui wamepatwa na nini ?

Ila ukianzia Bachelor unaanzia sehemu kubwa.

Kwa Mwalimu ukianzia Bachelor ni Tsh 716,000 ( arts ) na baada ya miaka 4 unapanda mpaka 940,000.
 
Hesabu nje ya mshahara ndo muhimu
 
Juha. Kama wewe ni mwalimu nawahurumia hao watoto unaowafundisha
 
Sasa unataka ulipwe hela nyingi unazalisha nini, wewe fundisha, kazi laini sana hiyo watu tunapambana na sumu huku na mishahara bado kiduchu.
Wewe una likizo ndefu mbili kila mwaka bado mid term unakula bata afu unataka limshahara likubwa, soma
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119]unapambana na sumu.
Sasa unataka ulipwe hela nyingi unazalisha nini, wewe fundisha, kazi laini sana hiyo watu tunapambana na sumu huku na mishahara bado kiduchu.
Wewe una likizo ndefu mbili kila mwaka bado mid term unakula bata afu unataka limshahara likubwa, soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…