Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
F1 ni mwalimu mwenye degree aliefanya kazi miaka 12.anaanza na D1 anakuja E1 ndipo afikie hiyo F1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ikawa miaka michache kwa Mwalimu anayeanza kazi Elimu ya Shahada ambaye anaanza na D1. Baada ya utumishi wa miaka mi4 atapanda hadi F1 na miaka mingine 4 hadi mi5 anafika hiyo F1. Hivyo kwa wengine sio mpaka atumikie miaka 16 ndio afike F1Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Tangu Julai 2015 huyo E1 anaanza na basic salary ya 940.000/-Rekebisha hapo E1 Ni 751000
Miaka ya nyuma nilienda kufanya researchyangu/ data collection (nilikuwa chuo) kijiji kimoja kinaitwa Kibata huko Kilwa, Lindi. Nikafikia kwa Mwl mkuu na kupiga kahema kangu hapo. Kwa muda wa mwezi mmoja niliokaa hapo ndipo nilipoona mazingira magumu ya kazi ya ualimu. Kilichonistaajabisha ni jinsi wale walimu,hasa Mwl mkuu, walivyokuwa wanajituma kwenye kazi yao pamoja na ugumu wa mazingira. Yule Mwl Mkuu alikuwa anaaminika hapo kijijini utadhani ni DC, pale kwake kipindi hicho ndio ilikuwa TV ya kijiji, ana banda lake genereta na watu wanaangalia news na mipira. Nimepanga nitarudi one day to that Village daah...Nilikuwa Napenda sana kuwa mwl. Tena niwe nafundisha vitoto vidogovidogo vile!
Ualimu ni wito walimu walishapiga sana kelele kuhusu maslahi yao,lakini hakuna anayejali! Enzi za JK walikuwa wanaanzisha mpaka migomo, lakini hola!
Pigeni tu kazi walimu wetu, taifa linawategemea japo wanajifanyaga wanawachukulia poa, wakati mwingine wanawapeleka vishule vya huko ndani ndani ambako hata wao hawawezi kuishi,basi hata wawafikirie kuwapeni posho ya mazingira magumu hakuna[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Pigeni kazi tu na kwa kuwa mna muda mwingi wa ziada, jiongezeni mtafute namna ya kufanya ili kujiongezea vipato kulingana na mazingira mnayoishi!
Sahihi kuna mmoja tuko naye mkoani, ameanza kazi na Diploma ndani ya miaka 4 amejenga nyumba yake nzuri tuu...Kuna mwingine nilikutana naye Mvomero kwenye kununua mazao (mpunga) alianza na mtaji wa milioni 5 (alichukua mkopo) aisee juzi nimemkuta (after 7 years kupotezana) yuko mbali kwelikweli kibiashara .Waache tu wanashonaga Hadi sare kupokea mwenge kwa huohuo mshahara.
ila mi nawakubali wanaishi kwa akili nyingi sana hapo utakuta aliekaa kazin miaka 5 tu tayari ameshajenga na anamishemishe zingine (kwa mikoani lakin)
ila kwa dar kwa mshahara huo maendeleo yako yatabaki ni kumiliki gari tu
Huo mshahara unaweza kufanya maendeleo ukiwa mikoani.
Hiyo ni sio F1 mkuuF1 ni daraja. Mtu anapanda baada ya kufanya kazi miaka kadhaa.
Yaani wale wa kwenye 419,000 wanenda kwenye 530,000 na wale wa 530,000 wanaenda kwenye 716,000 huku wale wa 716,000 ndio wanaenda kwenye 940,000.
Hii Tsh 940,000 ndio daraja la F1.
Kama huwa unasikia kuoandishwa madaraja ya watumishi ndio haya. Na kila mtumishi ana haki ya kupanda kila baada ya miaka 4.