The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Stress hizi za kuwa joblessMimi ukinipa huo mshahara tena na benk Nina access ya kukopa nakuwa tajiri after five years ila mpumbavu hawezi elewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stress hizi za kuwa joblessMimi ukinipa huo mshahara tena na benk Nina access ya kukopa nakuwa tajiri after five years ila mpumbavu hawezi elewa
weka payslip yako hapa Nami niweke yangu kama hujamtuma mkeo aje kuomba ada ya watoto. Kwa tafsiri yako mtumishi ni mwl pekee. Bwege wewe endelea kula vumbi ya chaki huko. Mshahara wangu kwa taarifa yako hata wateule wa rais wanasubiri unaweza kufanya calculation za haraka haraka kama kweli wewe umeajiriwa P. A. Y. E nakatwa zaidi ya 1.3 then you got my gross pay you sh**t Hole.Mimi ndio nimeleta huu UZI?
Wewe Ni mpumbavu. Na tunajua mabwabwa Kama nyie hamjawahi kupenda Watumishi kwasababu mnaishi kwa WIVU na CHUKI.
Bora wao wanakopesheka kwa mangi, na wewe nenda kakope.
Unadhani kukopesheka Ni makalio kila mtu ana sifa za kukopesheka.
weka payslip yako hapa Nami niweke yangu kama hujamtuma mkeo aje kuomba ada ya watoto. Kwa tafsiri yako mtumishi ni mwl pekee. Bwege wewe endelea kula vumbi ya chaki huko. Mshahara wangu kwa taarifa yako hata wateule wa rais wanasubiri unaweza kufanya calculation za haraka haraka kama kweli wewe umeajiriwa P. A. Y. E nakatwa zaidi ya 1.3 then you got my gross pay you sh**t Hole.
Utasabisha nipigwe ban mshenzi wewe unaniletea stress zako mimi, pambana na hali yako. Loan board wanakusubiri, Bima, CWT, PSPF, P. A. Y. E nk lazima maji uite mma
umeishiwa mimi si level yako buddy. Tuongee mambo mengine ya kuchangamsha jukwaa wakati unajadili mshahara wa laki tatu leo hii 2022.Mimi huo mshara niliupokea 1999.
Mtu anauhakika wa kushika hiyo kwa wiki lkn bado anaona maisha hayasongiTake home 331,000 . Hapa lazima ujiongeze.
Kwamba Mimi na wewe tunashinda humu au?umeishiwa mimi si level yako buddy. Tuongee mambo mengine ya kuchangamsha jukwaa wakati unajadili mshahara wa laki tatu leo hii 2022.Mimi huo mshara niliupokea 1999.
Hakuna lolote, labda kuvaa makoti machafu na oversize basi lkn maendeleo hakuna kitu, wamenifanya nichukie ualimu na siwezi kuruhusu mwanangu awe mwlimu.Waache tu wanashonaga Hadi sare kupokea mwenge kwa huohuo mshahara.
ila mi nawakubali wanaishi kwa akili nyingi sana hapo utakuta aliekaa kazin miaka 5 tu tayari ameshajenga na anamishemishe zingine (kwa mikoani lakin)
ila kwa dar kwa mshahara huo maendeleo yako yatabaki ni kumiliki gari tu
Huo mshahara unaweza kufanya maendeleo ukiwa mikoani.
huna jipya kawaida yenu wajita misifa, umbea na unafiki ili hali mu maskini wa kutupwa. Ukimiliki baiskeli na kokoro tayari unaona umemalizaKwamba Mimi na wewe tunashinda humu au?
Kalia kwanza usikisikilizie hapo. Huna akili
View attachment 2219331
sitarajii kama una tusi ambalo mimi sijawahi sikia hivo naona kama una fanny a drillKwamba Mimi na wewe tunashinda humu au?
Kalia kwanza usikisikilizie hapo. Huna akili
View attachment 2219331
Akili yako ndogo kama mavi baba yako. Mimi siyo Mjitahuna jipya kawaida yenu wajita misifa, umbea na unafiki ili hali mu maskini wa kutupwa. Ukimiliki baiskeli na kokoro tayari unaona umemaliza
Vyote hivyo kwa mshahara upi? Wengine ni vya urithi, wengine ni wahasibu, bila hivyo vyanzo viwili maisha ni choka mbaya si mwl mkuu si wa kawaida.Sio gari tuuu wana mpaka machine za kusaga magari magest nk!!! Amini nakwambia !!! Jamaa yangu ni teacher kasjiriwa 2016 ana machine mbili za kusaga! Coaster moja!!! Ana mpango wa kujenga gest namanga arusha yeye yupo dar!!!! Huwa ananichosha sana
Avatar yako inahakisi hivo. Unless usingejiita hivo
Aseeweka payslip yako hapa Nami niweke yangu kama hujamtuma mkeo aje kuomba ada ya watoto. Kwa tafsiri yako mtumishi ni mwl pekee. Bwege wewe endelea kula vumbi ya chaki huko. Mshahara wangu kwa taarifa yako hata wateule wa rais wanasubiri unaweza kufanya calculation za haraka haraka kama kweli wewe umeajiriwa P. A. Y. E nakatwa zaidi ya 1.3 then you got my gross pay you sh**t Hole.
Utasabisha nipigwe ban mshenzi wewe unaniletea stress zako mimi, pambana na hali yako. Loan board wanakusubiri, Bima, CWT, PSPF, P. A. Y. E nk lazima maji uite mma
Huu uongo usiuandike tena humu, utapigwa.Kuna watu wanalipwa laki 2 kwa mwezi na wanaishi vizuri tu hawana stress za maisha
Ukiwa mwanasheria wa serikali unaanzia TGS E hio 940,000 ambayo ni 960,000 siku hizi...😁😁😁Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.
Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.
Mishahara ya walimu siyo midogo.
Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
Hizo ni stori kuna wengine wanaanzia 960,000 TGS E...Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Hivi unajua mtu anayefanya kazi stationery, duka, hotel, mgahawa, dereva, mwalimu vituo vya Chekechea nk wanalipwa sh ngapi?Huu uongo usiuandike tena humu, utapigwa.
Haimaanishi wanaishi vizuri sasa, au kwa sababu hawana sauti?Hivi unajua mtu anayefanya kazi stationery, duka, hotel, mgahawa, dereva, mwalimu vituo vya Chekechea nk wanalipwa sh ngapi?