Viwanja 10 vya ndege Afrika vyenye hekaheka

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Pamoja na kuwa tuna vivutio vingi vya kitalii, Tanzania hatumo.

Tunakwama wapi?

 
😃 Ndege zenyewe za ndani kama daradara,yani ndege inatoka dar inshuka tabora inaruka tena kahama inakwenda mwanza yani wanashuka na wanaingia wengine.

Makodi na matozo serikali ya ccm yanafanya safari za ndege kuonekana kama anasa.

Ubinafsi ambao utaki kuruhusu makampuni mengine.

La mwisho sisi hatuna uthubutu wa kusafiri.Mfano tu hapo ulipo nenda wilaya nyengine utaanza kujifikiria itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…