Viwanja ambavyo havistahili kuchezea mechi za ligi kuu

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
1.Ule uwanja unaotumiwa na dodoma jiji.Ni aibu sana yaani uwanja upo katikati ya jiji lakini una nyasi kavu na kutimka vumbi.

2.Karume-Mara, huu uwanja hata kuchezea ligi daraja la kwanza haufai ni kama vile huwa wanalima mpunga hapo.

Orodhesha vingine.
 
Azam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.

Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.

Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria
 
Kodi ya kuingiza nyasi bandia imetolewa, hivi viwanja viongozi wa mpira nchi hii wanashindwa kujiongeza hata kuweka nyasi bandia kwa awamu daaah

Hii ni aibu, coz quality ya picha za Azam media zimeongezeka halafu viwanja ndo vinakuwa na vumbi.

Eti kuna mtu akaweka nyasi bandia uwanja wa nyamagana Mwanza halafu ccm Kirumba ikabaki patupu
 
Hili ndio suluhisho bora zaidi, Azam wangeliingia kati. Ligi yetu sasa imekuwa hivyo inatazamwa na wengi
 
Azam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.

Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.

Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria
Ivyo viwanja ni vya CCM wewe Leo unaweka artificial grass kwaajili ya kuchezea mpira mwenye uwanja kesho mwenye uwanja( CCM) anaweka tamasha watu wanacheza disco uwanjani, majiko ya wauza chips na mishkaki yanawekwa uwanjani bila kusahau tamasha la mwenge.
Baada ya shughuli izo kwisha uwanja unabaki na vipara na matobo yaliyo sababishwa na moto wa wauza chips.
 
Kodi ya kuingiza nyasi bandia imetolewa, hivi viwanja viongozi wa mpira nchi hii wanashindwa kujiongeza hata kuweka nyasi bandia kwa awamu daaah

Hii ni aibu, coz quality ya picha za Azam media zimeongezeka halafu viwanja ndo vinakuwa na vumbi.

Eti kuna mtu akaweka nyasi bandia uwanja wa nyamagana Mwanza halafu ccm Kirumba ikabaki patupu
Ccm ni tatizo.

Viwanja ni Mali ya chama ndo maana ilijengwa nyamagana ikaachwa kirumba

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ivyo viwanja ni vya CCM wewe Leo unaweka artificial grass kwaajili ya kuchezea mpira mwenye uwanja kesho mwenye uwanja( CCM) anaweka tamasha watu wanacheza disco uwanjani, majiko ya wauza chips na mishkaki yanawekwa uwanjani bila kusahau tamasha la mwenge.
Baada ya shughuli izo kwisha uwanja unabaki na vipara na matobo yaliyo sababishwa na moto wa wauza chips.
Kwenye matamasha kama hayo huwa kuna carpet nzito inawekwa juu ya nyasi kama uliona maandalizi ya pambano la AJ na Usyk pale uwanja wa spurs
 
Ivyo viwanja ni vya CCM wewe Leo unaweka artificial grass kwaajili ya kuchezea mpira mwenye uwanja kesho mwenye uwanja( CCM) anaweka tamasha watu wanacheza disco uwanjani, majiko ya wauza chips na mishkaki yanawekwa uwanjani bila kusahau tamasha la mwenge.
Baada ya shughuli izo kwisha uwanja unabaki na vipara na matobo yaliyo sababishwa na moto wa wauza chips.
Kwanini vilabu vingine haviwezi kujijengea viwanja kama Gwambina?

Azam walinde product yao wawashinikize bodi ya ligi kupiga ban viwanja vyote vya ccm mikoani hadi standard ya pitch itakapo improve au vilabu vijijengee viwanja vyao.

Hii hali ya viwanja haitabadilika hivi hivi tu
 
tatizo ni bodi ya ligi, kabla ya ligi kuanza walifanya ukaguzi fikiria uwanja wa ccm kirumba ambao sisi tuliuona bora CAF wameukataa. Hii bodi sioni umuhimu wake.
Kuna uwezekano CCM wanalazimisha mechi zichezwe viwanja vyao ili waendelee kukusanya mapato bila kukarabati viwanja na Azam/bodi ya ligi wanaogopa kukataa

Hii nchi ngumu sana
 
Azam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.

Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.

Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria
Uwezekano huo mbona upo hata wapenzi na mashabiki wa mpira tu wanaweza kuchanishana wakaweka nyasi nzuri tatizo ni kwamba nani mmiliki wa hivyo viwanja?

Zaidi ya 70% ya viwanja vyote wanavimiliki CCM nadhani tuwashauri kwanza hawa watu
 
Back
Top Bottom