Hili ndio suluhisho bora zaidi, Azam wangeliingia kati. Ligi yetu sasa imekuwa hivyo inatazamwa na wengiAzam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.
Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.
Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria
Ivyo viwanja ni vya CCM wewe Leo unaweka artificial grass kwaajili ya kuchezea mpira mwenye uwanja kesho mwenye uwanja( CCM) anaweka tamasha watu wanacheza disco uwanjani, majiko ya wauza chips na mishkaki yanawekwa uwanjani bila kusahau tamasha la mwenge.Azam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.
Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.
Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria
Ccm ni tatizo.Kodi ya kuingiza nyasi bandia imetolewa, hivi viwanja viongozi wa mpira nchi hii wanashindwa kujiongeza hata kuweka nyasi bandia kwa awamu daaah
Hii ni aibu, coz quality ya picha za Azam media zimeongezeka halafu viwanja ndo vinakuwa na vumbi.
Eti kuna mtu akaweka nyasi bandia uwanja wa nyamagana Mwanza halafu ccm Kirumba ikabaki patupu
Kwenye matamasha kama hayo huwa kuna carpet nzito inawekwa juu ya nyasi kama uliona maandalizi ya pambano la AJ na Usyk pale uwanja wa spursIvyo viwanja ni vya CCM wewe Leo unaweka artificial grass kwaajili ya kuchezea mpira mwenye uwanja kesho mwenye uwanja( CCM) anaweka tamasha watu wanacheza disco uwanjani, majiko ya wauza chips na mishkaki yanawekwa uwanjani bila kusahau tamasha la mwenge.
Baada ya shughuli izo kwisha uwanja unabaki na vipara na matobo yaliyo sababishwa na moto wa wauza chips.
Apa Kwetu sio ulaya.Kwenye matamasha kama hayo huwa kuna carpet nzito inawekwa juu ya nyasi kama uliona maandalizi ya pambano la AJ na Usyk pale uwanja wa spurs
Kwanini vilabu vingine haviwezi kujijengea viwanja kama Gwambina?Ivyo viwanja ni vya CCM wewe Leo unaweka artificial grass kwaajili ya kuchezea mpira mwenye uwanja kesho mwenye uwanja( CCM) anaweka tamasha watu wanacheza disco uwanjani, majiko ya wauza chips na mishkaki yanawekwa uwanjani bila kusahau tamasha la mwenge.
Baada ya shughuli izo kwisha uwanja unabaki na vipara na matobo yaliyo sababishwa na moto wa wauza chips.
Kuna uwezekano CCM wanalazimisha mechi zichezwe viwanja vyao ili waendelee kukusanya mapato bila kukarabati viwanja na Azam/bodi ya ligi wanaogopa kukataatatizo ni bodi ya ligi, kabla ya ligi kuanza walifanya ukaguzi fikiria uwanja wa ccm kirumba ambao sisi tuliuona bora CAF wameukataa. Hii bodi sioni umuhimu wake.
Na Nyavu mbovu, shuti la kawaida lakini nyavu chaliNimebahatika kucheki mechi ya Simba na biashara, mmh Yan tunapotezeana muda kwa kuchomeka vibendera...
bodi ya ligi haina umuhimuKuna uwezekano CCM wanalazimisha mechi zichezwe viwanja vyao ili waendelee kukusanya mapato bila kukarabati viwanja na Azam/bodi ya ligi wanaogopa kukataa
Hii nchi ngumu sana
Uwezekano huo mbona upo hata wapenzi na mashabiki wa mpira tu wanaweza kuchanishana wakaweka nyasi nzuri tatizo ni kwamba nani mmiliki wa hivyo viwanja?Azam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.
Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.
Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria