Vilabu lazima vijenge viwanja vyao, hili tatizo halitaishaUwezekano huo mbona upo hata wapenzi na mashabiki wa mpira tu wanaweza kuchanishana wakaweka nyasi nzuri tatizo ni kwamba nani mmiliki wa hivyo viwanja?
Zaidi ya 70% ya viwanja vyote wanavimiliki CCM nadhani tuwashauri kwanza hawa watu
Hakuna shabiki wa simba aliewahi kusema viwanja vya mikoani ni vizuri pamoja na kwamba simba ilikuwa inapata ushindi huko.Leo ndio mnaona viwanja vibovu? Hivi Simba wanapofanyia mazoezi pale bunju uwanja ukoje?.
Tulipolalamika kuhusu viwanja wakati mnashinda mechi za mikoani hamkuona umuhimu wake
Leo kimeumana mnaanza kulia Lia twende hivyo hivyo kila mtu ashinde mechi zake Kama ambavyo mlikuwa mkisema miaka iliyopita.
Sio kazi ya Azam hiyo, tulishawashauri wenye viwanja na proposal kabisaaa.Vingi ni vya Chama Cha Mapinduzi ila sasa kusikia kwao ni hakuna na kuna siasa chungu mzima kule.Azam wangelazimisha angalau 10% ya zile 223 billions kwenda kuweka artificial pitch kwenye viwanja vyote vya mikoani.
Viwanja bora vitaongeza thamani ya product especially in terms of sponsorships.
Watanzania ni watu wavivu sana kufikiria