Viwanja bei nafuu dodoma

Viwanja bei nafuu dodoma

Viwanja mbalimbali vilivyopo sehemu mbalimbali,bado vipo.Fanya mawasiliano ya 0779017650 upate viwanja kwa bei ya kawaida,hapa Dodoma.
 
Ekari 13 zipo Bihawana
-Ni za kwanza kabisa ukitoka rongroad
-Bei mil.9.5 kwa zote.
-Documents ni invoice.
Tuwasiliane kwa 0779017650 kwa wewe mhitaji.
 
Kiwanja kinauzwa
-Kipo Iyumbu North nyuma ya sheli mpya
-Kina ukubwa wa sq.522
-Doc.HATI
-Ni mwendo wa dakika 3 tu mpaka lami kwa miguu.
-Kipo umbali wa mita 30 toka lami.
-Milioni 13 tu.
 

Attachments

  • IMG-20241229-WA0002(1).jpg
    IMG-20241229-WA0002(1).jpg
    61.8 KB · Views: 6
Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani. Wekeza leo kwa faida ya sasa na baadaye.

Viwanja Vinavyopatikana:

1. Kiwanja Karibu na Hospitali ya Benjamin Mkapa:
Ukubwa: Sqm 453
Umbali kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa: Mita 70 tu
Huduma: Maji na umeme vipo jirani
Ziada: Kina surveyor form
Bei: Milioni 6 tu!
2. Kiwanja Karibu na Ring Road na Hospitali ya Benjamin Mkapa:
Ukubwa: Sqm 798.3
Eneo: Karibu na Ring Road, pia karibu na Hospitali ya Benjamin Mkapa
Huduma: Maji na umeme vipo jirani
Ziada: Kina surveyor form
Bei: Milioni 6.2 tu!
Usikose Fursa Hii!

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na huduma:

Simu: 0779 017 650

Wahi sasa, viwanja ni vichache!
Sawa Mkuu!Tutakuja Bado vipo?
 
Back
Top Bottom