Viwanja bei nafuu dodoma

Viwanja mbalimbali vilivyopo sehemu mbalimbali,bado vipo.Fanya mawasiliano ya 0779017650 upate viwanja kwa bei ya kawaida,hapa Dodoma.
 
Ekari 13 zipo Bihawana
-Ni za kwanza kabisa ukitoka rongroad
-Bei mil.9.5 kwa zote.
-Documents ni invoice.
Tuwasiliane kwa 0779017650 kwa wewe mhitaji.
 
Kiwanja kinauzwa
-Kipo Iyumbu North nyuma ya sheli mpya
-Kina ukubwa wa sq.522
-Doc.HATI
-Ni mwendo wa dakika 3 tu mpaka lami kwa miguu.
-Kipo umbali wa mita 30 toka lami.
-Milioni 13 tu.
 

Attachments

  • IMG-20241229-WA0002(1).jpg
    61.8 KB · Views: 6
Sawa Mkuu!Tutakuja Bado vipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…