chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 199
Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5 maeneo yote yanafikika kwa gari yapo karibu na barabara za mtaa. Ukihitaji ukubwa wa aina yoyote unapata. Kwa mawasiliano zaidi 0716694624