mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
Hii nzuri
Naam boss
Kuna kiwanja kimojawapo kina Sqm 1012 hicho ni almost robo heka.Robo eka ni kama bei gani
Hati bado bossHati ndo bado sio
Kwa lugha nyepesi ni kwamba milioni 23 kiwanja cha sqm 500Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A.
Viko vinne
Vimepimwa
Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road
Karibu na shule
Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa
Huduma za umeme na maji zipo
Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri
Bei ni 46,000 kwa square meter
Ni sehemu hot cake sana
0763787813
Milioni 46 laki 5 hamsini na 2 elfuKuna kiwanja kimojawapo kina Sqm 1012 hicho ni almost robo heka.
46000*1012=