Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

kitoy

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
44
Reaction score
40
VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA

VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu.

Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na zilizobaki utalipia kwa miezi minne.

Hivyo sqm 400(20*20) utapata kwa Tsh 420,000/= tu kwasasa.

Wahi vipo vichache hii Ni zaidi ya Ofa Mwisho wa ofa hii Ni tarehe 4/8/2022 unaweza kupelekwa kutembelea mradi ujionee then ufanye maamuzi.

Pamoja na ofa hii ya saba saba kuna miradi mingine ya Viwanja 1.KILUVYA MADUKANI km 3 toka barabara kuu Bei kwa Cash ni Tsh 16,000/= kwa sqm na kwa mkopo ni Tsh 17,000/= kwa sqm kwa miezi 6 baada ya kulipa 40%
2.GOBA KULANGWA Mita 700 toka barabara kuu Bei kwa Cash ni Tsh 40,000/= kwa sqm na kwa mkopo ni Tsh 42,000/= kwa sqm kwa miezi mitatu.

3.KIGAMBONI(AVICK TOWN) Km 2 toka barabara ya Hindi na Mita 150 toka barabara kuu Kwa Cash ni Tsh 13,500/= kwa sqm na kwa mkopo ni Tsh 15,000/= kwa sqm kwa miezi 9 vinaanzia SQM 500(Approved Survey)
Vyote vipo chini ya mradi wa #EPL

TUWASILIANE SASA 📞 0625234332 Whatsapp

1657394136120.jpg
1657394148044.jpg
1657394153023.jpg
1657394159502.jpg
 
Mku habari,

Naomba kujua kama mna ambavyo vipo karibu na train ya mwendo kasi kwani nahitaji.

Asante
 
Mku hbr.
Naomba kujua kama mna ambavyo vipo karibu na train ya mwendo kasi kwani nahitaji.
Asante
Kuna ambavyo viko kibaha kongowe ..kata ya vikuge sehemu wanapaita Soga ndo kuna kituo kikubwa (Station) ya train ya mwendo kasi pia kuna eneo la viwanda washaanza kujenga

Lakini pia hapo vigwaza n eneo potential sana coz kuna bandari kavu, kuna eneo limetengwa kwa ajili ya viwanda na kuna kituo kikubwa (station) ya train ya mwendo kasi inajengwa so ni sehemu nzuri pia

Yan kwa kifupi Kibaha kongowe vikuge & Vigwaza kwala ndo sehemu za kuwekeza sahv
 
Kwani ukijibu kilichohitajika kuna ubaya kwani unachohitaji ni wateja ndo maana umekuja ktk hili jukwa.
Kwani jibu tuu ili nijue pa kuanzia kwani ninaj

Kwani ukijibu kilichohitajika kuna ubaya kwani unachohitaji ni wateja ndo maana umekuja ktk hili jukwa.
Kwani jibu tuu ili nijue pa kuanzia kwani ninajitaji
Vipo vya kiluvya madukani
 
Wahi Jipaatie kiwanja Fukayosi Bagamoyo,Viwanja vipo umbali wa 1.2km kutoka barabara ya lami unaweza kutembelea viwanja kujiridhisha kisha uchukue maamuzi ya kumiliki ardhi,Viwanja vimepimwa Tuwasiliane kupitia 0625234332+Whatsapp
IMG-20220805-WA0021_1.jpg
 
Jipatie kiwanja kilichopimwa kwa Tsh 6,750,000/= SQM 500 CASH
Tsh 7,500,000/= SQM 500 MKOPO Kwa muda wa miezi 9 baada ya kulipa 40%
👉Viwanja vipo umbali wa km 2 kutoka bahari ya hindi na mita 150 tu kutoka barabara kuu.
👉Huduma zote za kijamii zinapatikana
👉unaweza kuchukua zaidi ya sqm 500.

👉 viwanja vimepimwa
Siku ya kutembelea viwanja ni Jumatano na Jumamosi au inategemea na upatikanaji wako.
ili kufahamu zaidi/kupata picha za mradi ulivyo na ramani Tuwasiliane Whatsapp 📞 +255 625234332
IMG-20220712-WA0027_1 - Copy.jpg

 
Jipatie kiwanja Kigamboni Buyuni kwa Tsh 7,500 kwa sqm ikiwa utalipa cash na Tsh 8,500 kwa sqm ikiwa utachukua kwa mkopo muda wa mkopo ni miezi sita
Viwanja vipo umbali wa 1.5km kutoka Buyuni center.
👉Viwanja vimepimwa
👉 Huduma zote zinazohitajika za kijamii zinapatikana

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi
IMG-20220712-WA0030_1 - Copy.jpg
📞+255 625234332
 
Jipatie kiwanja kilichopimwa kwa Tsh 6,750,000/= SQM 500 CASH
Tsh 7,500,000/= SQM 500 MKOPO Kwa muda wa miezi 9 baada ya kulipa 40%
👉Viwanja vipo umbali wa km 2 kutoka bahari ya hindi na mita 150 tu kutoka barabara kuu.
👉Huduma zote za kijamii zinapatikana
👉unaweza kuchukua zaidi ya sqm 500.

👉 viwanja vimepimwa
Siku ya kutembelea viwanja ni Jumatano na Jumamosi au inategemea na upatikanaji wako.
ili kufahamu zaidi/kupata picha za mradi ulivyo na ramani Tuwasiliane Whatsapp 📞 +255 625234332View attachment 2315267
Hamna surveyed map ili mteja achague?

Ni viwanja vya makazi pekee au pamoja na biashara?
 
Viwanja vipo umbali wa km 3 kutoka barabara kuu
BEI YA KIWANJA NI TSH 16,000 KWA SQM 1 IKIWA UTALIPA CASH NA TSH 17,000 KWA SQM 1 IKIWA UTACHUKUA KWA MKOPO MUDA WA MKOPO NI MIEZI 6 BAADA YA KULIPA ASILIMIA 40 YA GHARAMA YA KIWANJA UNACHOCHUKUA
TUWASILIANE +255625234332 Whatsapp
IMG-20220712-WA0028_1 - Copy.jpg
p
 
Je ungependa kumiliki kiwanja msimu huu wa sikukuu ya nane nane basi EPL wanakumilikisha kiwanja kwa punguzo la 50% kwenye mradi wa viwanja uliopo Fukayosi-Bagamoyo ni km 1.2 tu kutoka barabara ya lami,Huduma zote za kijamii zinapatikana
Tuwasiliane +255 625234332
IMG-20220805-WA0021_1.jpg
Whatsapp
 
Kama msimu wa sabasaba hukuweza kumiliki kiwanja vigwaza basi ni wakati mwingine usichezee fursa miliki kiwanja kilichopimwa Kwa Tsh 725,000/= kwa SQM 500 ikiwa utalipa Cash bila kusahau unaweza kumiliki kiwanja kwa mkopo wa miezi minne kwa Tsh 1600 kwa SQM1
Tuwasiliane +255625234332
IMG-20220805-WA0015_1.jpg
 
Jipatie kiwanja Goba - kulangwa mita 700 kutoka barabara kuu
Bei kwa Cash ni Tsh 40,000 kwa SQM
Kwa mkopo ni Tsh 42,000 kwa SQM Kwa muda wa miezi mitatu Kiwanja kina SQM 1,041 NA KIMEPIMWA

TUWASILIANE +255 625234332
IMG-20220712-WA0025_1.jpg
Whatsapp
 
Back
Top Bottom