DalaliBinamu
Member
- Feb 19, 2025
- 21
- 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar es SalaamHii ni Mbweni ya wapi? Dsm, Malindi au Mtwara
Hivyo havina hati ya wizara, Maudhiano Serikali ya Mtaa.Je vina HATI YA WIZARANI?
KAZI ni kipimo cha utu
Nakuja kesho mapemaHivyo havina hati ya wizara, Maudhiano Serikali ya Mtaa.
Mwenyekiti wa Mtaa ni Mtu safi anaaminika, alafu hapo kuna viwanja vingi vya mmiliki mmoja kwaiyo hamna longolongo biashara imenyooka
Karibu BossNakuja kesho mapema
Dar es Salaam
Square meter 400 ni eneo dogo kwa kujenga nyumba ya chini labda ujenge ghorofa. Wizara ilipiga marufuku upimaji wa viwanja chini ya square meter 600 kwa maeneo ya pembezoni.
Mbweni ni Kubwa sana, kama umetembea na bei za viwanja zinatofautiana kulingana na maeneokwa mbweni na hizo bei mnunuzi uende ukiwa timamu kweli kweli vinginevyo usijesema hukuonywa.