Plot4Sale Viwanja safi mbande mipeko c new site | njoo umiliki ardhi kwa bei nafuu

Plot4Sale Viwanja safi mbande mipeko c new site | njoo umiliki ardhi kwa bei nafuu

Viko na hati ya serikali ya mtaa
Hakunaga hati ya serikali ya mtaa ni uongo mkubwa sana. Hati zipo za aina mbili tu yaan zile zinaongozwa na sheria ya ardhi namba 4 ambazo ni za eneo lisilo la kijiji na pia kuna hati za kimila zinazoongozwa kwa sheriabya ardhi namba 5. Jielekeze vizur lasivyo utaonekana tapeli bure.
 
Sinahqmu na mban d e kamwe

Nikiitiwa kiwanja riho ikagomaa

Nkamchukua dogowangu kanunue akanunua baadaya miaka 3 kaja jamaa na amriyqmahakama nyumba zivunjwe wamejenga eneo lake aisee mbona kwen damahakaman akashinda

Hapoo kuna ambaoo ardhi walishatoa. Tayari hati na wengine walikuwa njian kupata hati aisee dogo akaenda akavunjilia mbali vyumba vyake
Kwa huu uandishi wako ndiyo maana ndugu yako alitapeliwa(joke tu)pole yake
 
Hakunaga hati ya serikali ya mtaa ni uongo mkubwa sana. Hati zipo za aina mbili tu yaan zile zinaongozwa na sheria ya ardhi namba 4 ambazo ni za eneo lisilo la kijiji na pia kuna hati za kimila zinazoongozwa kwa sheriabya ardhi namba 5. Jielekeze vizur lasivyo utaonekana tapeli bure.
Hukookimbia ndugu
Wakishauza huwaoni

Sisii tulidilimpaka na kote serk zamotaa waliotuuzia wametukana kama sio waoo
 
Hukookimbia ndugu
Wakishauza huwaoni

Sisii tulidilimpaka na kote serk zamotaa waliotuuzia wametukana kama sio waoo
Ndo maan unaambiwa kununua ardhi ni project kama project nyingine inahitaji muda na pesa ukiachana na pesa ya kunulilia.
 
Hukookimbia ndugu
Wakishauza huwaoni

Sisii tulidilimpaka na kote serk zamotaa waliotuuzia wametukana kama sio waoo
pole sana aise na hati miliki mlipewa? Namaanisha hati ile iliosainiwa na kamishina wa ardhi.
 
pole sana aise na hati miliki mlipewa? Namaanisha hati ile iliosainiwa na kamishina wa ardhi.
YES MPWAA TULISET MPAKA NA ITV WAKAIRUSHA WAPII JAMAA AKAONYESHA HATIYAKE YA ARDHI TUKAULIZANA HII SERIKALI N MOJA AMA TOFAUTI

AISEE SITAKI KUKUMBUKA DOGO HATA ATUKO SAWA NAE MPAKA LEO AMEHISI NIMEMCHOMESHA MAHINDIPORI....

NIKAHISI HAYA

EITHER
SERKL ZA MITAA WANAJUA UKWELI WANAKULA DILI NA WAMILIKI WANAPOONA NYUMBA NYINGI ZIMEJENGWA WANAHISI NDIO SEHEMU YA KUJIPATIA FEDHA

IKIVIPIPI JAMAA ALIPOONA MAMBOYA MAHAKAMAN AKANZA KUWAMBIA WATU NILIPENI KIASI HIKI MWENYE UWEZO ALILIPA AKABAKI.....

HII MICHEZOO HARAMU IMEJAA MBANDE NZIMA KAMA SIO TANZANIA NDUGU
 
pole sana mkuu. Ila hapo ofisi ya msajili ina makosa kwa sababu yenyewe ni kama kioo sasa ikipotosha inatakiwa ifunguliwe kesi na yenyewe. Kama nimekuelewa vzr nyie mgogoro wenu ni nani mwenye hati miliki halali kwasababu jamaa alikua na hati na nyie mna hati.
 
Yes ma sio moja

Yaan jamaa alikamata eneoo kama la nyumba 40 tayari zishajengwa ndugu
Mbaya zaidi baadhiyao walishanxa Pata hati

Anakuja mtu anawaonyesha eneoo loteee lake na hati anayooo
Wachakabisaa iweeee nikagumbilestuupid n mawifee hataree

Hapondipo unajua kwann maharagee n zaoo la biasharaa hahahahaaa
 
Ardhi sio lelemama
 
Karibuni viwanja vizuri kwa makazi na biashara, Mbande mipeko C, viwanja vipo zaidi ya 100, bei kuanzia 1.3M hadi 3.5M, size futi 40x40, 50x40. Huduma zote za kijamii zinapatikana.

Unaweza kulipa kwa awamu.

Karibuni sana tupigie 0654637448
View attachment 3459064View attachment 3459067View attachment 3459116View attachment 3459117
Toka lini viwanja vilivyopimwa vinatumia kipimo cha feet/futi?

Mbona hujatuma TP ya mchoro au ramani ya surveyed plan?

Viwanja vya wizara, manispaa au halmashauri vinatumia kipimo cha meter au square meter ( Mita na Mita za mraba)

Makampuni mengi si yote ya upimaji wa ardhi ni matapeli kwa kutumia vipimo visivyo halali kudanganya wananchi wasiojua.

Kipimo cha futi mara nyingi kinapaswa kutumika kwa kwenda chini mfano ukichimba shimo la choo.

Kuna miongozo ya wizara ya ardhi baadhi ya maeneo iliweka standard ya ukubwa wa viwanja vya makazi vinavyotakiwa.

Unaposema 40 kwa 50 feet maana yake lazima kubadilisha futi kwenda Mita.

Futi moja=0.3048 meter
Futi 50 itakuwa 50 mara 0.3048=15.24meter

Futi 40 ni 40 mara 0.3048=12.2meter

Kiwanja cha futi 40 kwa 50 ni sawa na 12.2 mara 15.24=185.8 square meter.

Kiwanja cha Mita za mraba 185 ni finyu sana kama utajenga nyumba ya chini labda ujenge ghorofa.

Kwa ufupi sina lengo kuharibu biashara yako nimeona tuelimishane ili watu waelewe unapoambiwa 40 kwa 50 unapaswa utambue kipimo ni Mita au futi.

Samahani kama nitakuwa kwa namna Moja au nyingine maelezo yangu yatakwaza au kuathiri biashara yako.

Tujitahidi kutenda haki katika biashara zetu. Ujanja ujanja unazidi kushamiri sana bongo.
 
Huu uzi bila shaka ni wa wazaramo maana huu uandishi humu ni km wako ngomani
 
Acha ulaghai, hakuna sehemu inaitwa Mbande Mipeko. Sema Viwanja vipo Kata ya Mipeko, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Mbande inapatikana Manispaa ya Temeke, Mkoa wa Dsm. Ni kama utuambie unauza viwanja Kimara Chalinze
 
Tunauza kwa vipimo vya futi, vipimo vinaanza 40x40, 50x40 ukitaka zaidi unaongeza
Mmekaa mbali na wakati. Uliza Ardhi viwanja vinapimwa vipi? Huo mchongo mtakwama nao mkimuuzia mwenye uelewa. Badilika!
 
Acha ulaghai, hakuna sehemu inaitwa Mbande Mipeko. Sema Viwanja vipo Kata ya Mipeko, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Mbande inapatikana Manispaa ya Temeke, Mkoa wa Dsm. Ni kama utuambie unauza viwanja Kimara Chalinze
Mzee baba mbona morogoro road ipo hadi ilala?
 
Back
Top Bottom