didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
Hakunaga hati ya serikali ya mtaa ni uongo mkubwa sana. Hati zipo za aina mbili tu yaan zile zinaongozwa na sheria ya ardhi namba 4 ambazo ni za eneo lisilo la kijiji na pia kuna hati za kimila zinazoongozwa kwa sheriabya ardhi namba 5. Jielekeze vizur lasivyo utaonekana tapeli bure.Viko na hati ya serikali ya mtaa
Hii ni kampuni halali na eneo limekuwa surveyed na manispaa kabisaView attachment 3460957
Kwa huu uandishi wako ndiyo maana ndugu yako alitapeliwa(joke tu)pole yakeSinahqmu na mban d e kamwe
Nikiitiwa kiwanja riho ikagomaa
Nkamchukua dogowangu kanunue akanunua baadaya miaka 3 kaja jamaa na amriyqmahakama nyumba zivunjwe wamejenga eneo lake aisee mbona kwen damahakaman akashinda
Hapoo kuna ambaoo ardhi walishatoa. Tayari hati na wengine walikuwa njian kupata hati aisee dogo akaenda akavunjilia mbali vyumba vyake
Hukookimbia nduguHakunaga hati ya serikali ya mtaa ni uongo mkubwa sana. Hati zipo za aina mbili tu yaan zile zinaongozwa na sheria ya ardhi namba 4 ambazo ni za eneo lisilo la kijiji na pia kuna hati za kimila zinazoongozwa kwa sheriabya ardhi namba 5. Jielekeze vizur lasivyo utaonekana tapeli bure.
Ndo maan unaambiwa kununua ardhi ni project kama project nyingine inahitaji muda na pesa ukiachana na pesa ya kunulilia.Hukookimbia ndugu
Wakishauza huwaoni
Sisii tulidilimpaka na kote serk zamotaa waliotuuzia wametukana kama sio waoo
pole sana aise na hati miliki mlipewa? Namaanisha hati ile iliosainiwa na kamishina wa ardhi.Hukookimbia ndugu
Wakishauza huwaoni
Sisii tulidilimpaka na kote serk zamotaa waliotuuzia wametukana kama sio waoo
Yote dar hiyo 😂Mbande iko mkoa na wilaya gani??
YES MPWAA TULISET MPAKA NA ITV WAKAIRUSHA WAPII JAMAA AKAONYESHA HATIYAKE YA ARDHI TUKAULIZANA HII SERIKALI N MOJA AMA TOFAUTIpole sana aise na hati miliki mlipewa? Namaanisha hati ile iliosainiwa na kamishina wa ardhi.
pole sana mkuu. Ila hapo ofisi ya msajili ina makosa kwa sababu yenyewe ni kama kioo sasa ikipotosha inatakiwa ifunguliwe kesi na yenyewe. Kama nimekuelewa vzr nyie mgogoro wenu ni nani mwenye hati miliki halali kwasababu jamaa alikua na hati na nyie mna hati.YES MPWAA TULISET MPAKA NA ITV WAKAIRUSHA WAPII JAMAA AKAONYESHA HATIYAKE YA ARDHI TUKAULIZANA HII SERIKALI N MOJA AMA TOFAUTI
AISEE SITAKI KUKUMBUKA DOGO HATA ATUKO SAWA NAE MPAKA LEO AMEHISI NIMEMCHOMESHA MAHINDIPORI....
NIKAHISI HAYA
EITHER
SERKL ZA MITAA WANAJUA UKWELI WANAKULA DILI NA WAMILIKI WANAPOONA NYUMBA NYINGI ZIMEJENGWA WANAHISI NDIO SEHEMU YA KUJIPATIA FEDHA
IKIVIPIPI JAMAA ALIPOONA MAMBOYA MAHAKAMAN AKANZA KUWAMBIA WATU NILIPENI KIASI HIKI MWENYE UWEZO ALILIPA AKABAKI.....
HII MICHEZOO HARAMU IMEJAA MBANDE NZIMA KAMA SIO TANZANIA NDUGU
Unamaanisha square meter moja nni bei gani?Karibuni viwanja vizuri kwa makazi na biashara, Mbande mipeko C, viwanja vipo zaidi ya 100, bei kuanzia 1.3M hadi 3.5M, size futi 40x40, 50x40. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Unaweza kulipa kwa awamu.
Karibuni sana tupigie 0654637448
View attachment 3459064View attachment 3459067View attachment 3459116View attachment 3459117
Yes ma sio mojapole sana mkuu. Ila hapo ofisi ya msajili ina makosa kwa sababu yenyewe ni kama kioo sasa ikipotosha inatakiwa ifunguliwe kesi na yenyewe. Kama nimekuelewa vzr nyie mgogoro wenu ni nani mwenye hati miliki halali kwasababu jamaa alikua na hati na nyie mna hati.
Ardhi sio lelemamaYes ma sio moja
Yaan jamaa alikamata eneoo kama la nyumba 40 tayari zishajengwa ndugu
Mbaya zaidi baadhiyao walishanxa Pata hati
Anakuja mtu anawaonyesha eneoo loteee lake na hati anayooo
Wachakabisaa iweeee nikagumbilestuupid n mawifee hataree
Hapondipo unajua kwann maharagee n zaoo la biasharaa hahahahaaa
Toka lini viwanja vilivyopimwa vinatumia kipimo cha feet/futi?Karibuni viwanja vizuri kwa makazi na biashara, Mbande mipeko C, viwanja vipo zaidi ya 100, bei kuanzia 1.3M hadi 3.5M, size futi 40x40, 50x40. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Unaweza kulipa kwa awamu.
Karibuni sana tupigie 0654637448
View attachment 3459064View attachment 3459067View attachment 3459116View attachment 3459117
Tunauza kwa vipimo vya futi, vipimo vinaanza 40x40, 50x40 ukitaka zaidi unaongezaUnamaanisha square meter moja nni bei gani?
Mmekaa mbali na wakati. Uliza Ardhi viwanja vinapimwa vipi? Huo mchongo mtakwama nao mkimuuzia mwenye uelewa. Badilika!Tunauza kwa vipimo vya futi, vipimo vinaanza 40x40, 50x40 ukitaka zaidi unaongeza
Mzee baba mbona morogoro road ipo hadi ilala?Acha ulaghai, hakuna sehemu inaitwa Mbande Mipeko. Sema Viwanja vipo Kata ya Mipeko, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Mbande inapatikana Manispaa ya Temeke, Mkoa wa Dsm. Ni kama utuambie unauza viwanja Kimara Chalinze