PRODIGY001
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 103
- 199
- Thread starter
-
- #41
Wewe na uelewa wako kanunue huko kwenye waelewa wenzako, wacha kukaza shingo hapa na ujuaji wako finyu.Mmekaa mbali na wakati. Uliza Ardhi viwanja vinapimwa vipi? Huo mchongo mtakwama nao mkimuuzia mwenye uelewa. Badilika!
Mkuu mbona huo unaandika hovyo hovyo kana kwamba haujui kusoma wakati wewe ni mkongwe humu? Haupitiagi maandishi Yako baada ya kutype?Sinahqmu na mban d e kamwe
Nikiitiwa kiwanja riho ikagomaa
Nkamchukua dogowangu kanunue akanunua baadaya miaka 3 kaja jamaa na amriyqmahakama nyumba zivunjwe wamejenga eneo lake aisee mbona kwen damahakaman akashinda
Hapoo kuna ambaoo ardhi walishatoa. Tayari hati na wengine walikuwa njian kupata hati aisee dogo akaenda akavunjilia mbali vyumba vyake
Mkongwe na mas t a sMkuu mbona huo unaandika hovyo hovyo kana kwamba haujui kusoma wakati wewe ni mkongwe humu? Haupitiagi maandishi Yako baada ya kutype?
Kwahiyo unataka kutupiga na kitu kizito kuwa kuna Mbande ipo Wilaya ya Mkuranga ukiachana na hii tunayoijua ambayo inapatikana Manispaa ya Temeke?Mzee baba mbona morogoro road ipo hadi ilala?
Kwahiyo unataka kutupiga na kitu kizito kuwa kuna Mbande ipo Wilaya ya Mkuranga ukiachana na hii tunayoijua ambayo inapatikana Manispaa ya Temeke?Mzee baba mbona morogoro road ipo hadi ilala?
Watu humu mnamakasiriko sana, unakujua mbande au unakujua mipeko? Njia rahisi ya kufika mipeko ni kupitia mbande, direction nzuri yq mipeko ni kupitia mbande, sasa kuna shida gani mimi kueleza kua site ipo mbande mipeko? Ukisema mipeko kama mipeko haijulikani, laizma useme sehemu ambayo maarufu kama starting point ya kuelekea site. Kunywa maji mengi mwamba alafu jipige kifua.Kwahiyo unataka kutupiga na kitu kizito kuwa kuna Mbande ipo Wilaya ya Mkuranga ukiachana na hii tunayoijua ambayo inapatikana Manispaa ya Temeke?
Kwani ukitangaza kuwa unauza viwanja vilivyo Kata ya Mipeko, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani hutapata wateja.
Kwanini utumie mbinu za ulaghai ilihali unajua kabisa hiyo address haupo? Huoni unashusha credibility ya hiyo biashara unayoifanya?
Mweleze mteja hali halisi kuepuka kuonekana mbabaishaji, mbona watu wananunua viwanja Fukayosi na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Pwani bila shida yoyote ile.
Au ndiyo una ile mentality ya kuamini kila mtu ana ulimbukeni na jiji na ukimdanganya vipo karibu na uwanja wa Azam basi atababaika?
Mbona hata ukiingilia Mwanambaya unafika vizuri tu, ama hujui kuwa mwanambaya pia ni sehemu ya Kata ya Mipeko?Watu humu mnamakasiriko sana, unakujua mbande au unakujua mipeko? Njia rahisi ya kufika mipeko ni kupitia mbande, direction nzuri yq mipeko ni kupitia mbande, sasa kuna shida gani mimi kueleza kua site ipo mbande mipeko? Ukisema mipeko kama mipeko haijulikani, laizma useme sehemu ambayo maarufu kama starting point ya kuelekea site. Kunywa maji mengi mwamba alafu jipige kifua.
Yaani mtu umtangazie mwanambaya alafu umlete mipeko? Hivi kwa akili yako unadhani mwanambaya na mbande wapi maarufu?Mbona hata ukiingilia Mwanambaya unafika vizuri tu, ama hujui kuwa mwanambaya pia ni sehemu ya Kata ya Mipeko?