Viwanja vimebaki vichache sana Mabwepande. Mnaowahi fanyeni haraka

A

Anonymous

Guest
Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja.

Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari.

Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla.

Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.



 
Na leo wameviondoa kabisa……. Aibu kwelikweli naona aibu mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…