Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

Kwa Kigamboni kuna eneo maeneno yafuatayo Mwasonga hii ni karibu na Dar es Salaam zoo,puna hii ni mbele ya kimbiji, kuna kimbiji kwenyewe karibu na bahari,kuna eneo lingine linaitwa mkokozi viwanja vinauzwa kwa mita mraba na bei inatofautiana kulingana na eneo
Nipigie au tuma message watsap uwasiliane zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkopaji anatakiwa awe na sifa gani ili aweze kukopeshwa, maana mnaandika kama vile mtu yoyte anaweza kukopeshwa
 

Ina maana heka moja ambayo ni sq mita 4900 itakuwa 41,650,000/=?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…