Begumisa Kanyabiango
Member
- Sep 27, 2019
- 17
- 7
- Thread starter
- #21
Kwa Kigamboni kuna eneo maeneno yafuatayo Mwasonga hii ni karibu na Dar es Salaam zoo,puna hii ni mbele ya kimbiji, kuna kimbiji kwenyewe karibu na bahari,kuna eneo lingine linaitwa mkokozi viwanja vinauzwa kwa mita mraba na bei inatofautiana kulingana na eneo
Nipigie au tuma message watsap uwasiliane zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipigie au tuma message watsap uwasiliane zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app