Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

Plot4Sale Viwanja vinakopeshwa

Kwa Kigamboni kuna eneo maeneno yafuatayo Mwasonga hii ni karibu na Dar es Salaam zoo,puna hii ni mbele ya kimbiji, kuna kimbiji kwenyewe karibu na bahari,kuna eneo lingine linaitwa mkokozi viwanja vinauzwa kwa mita mraba na bei inatofautiana kulingana na eneo
Nipigie au tuma message watsap uwasiliane zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkopaji anatakiwa awe na sifa gani ili aweze kukopeshwa, maana mnaandika kama vile mtu yoyte anaweza kukopeshwa
 
Kampuni ya MAKAZI SOLUTION LTD inayohusika na upimaji,urasimishaji pamoja na uuzaji wa viwanja inakutangazia kuwa viwanja vinapatikana kwa mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu
Viwanja vyetu vina ukubwa wa kuanzia square metres 400 na kuendelea na kila square metre moja inauzwa kwa sh.8500
Tuna viwanja maeneo ya Kigamboni,Mvuti,Mbezi ya kimara eneo la Kwembe nk
Kwa mawasiliano piga namba 0658107756View attachment 1218020View attachment 1218021View attachment 1218022View attachment 1218023

Ina maana heka moja ambayo ni sq mita 4900 itakuwa 41,650,000/=?
 
Back
Top Bottom