Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

menat

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
154
Reaction score
36
Punguzo la beik kubwa


Karibu ujipatie viwanja vizuri maeneo ya Kibaha Misugusugu. Viwanja tambarare kabisa. Viwanja viko 2km kutoka Morogoro road. Huduma za kijamii zipo karibu
20kwa20 bei 1.8m waweza kuunganisha zaidi ya kimoja. Kwa maelezo zaidi piga 0685401051

 
Kutoka hapo kwenye viwanja hadi pale Check point ni kilomita ngapi ?
 
Kuna umbali gani kwenye viwanja hadi check point ?
 
Check point iko kwa mbele. Eneo lenyewe unaingilia pale karibu na kituo cha daladala cha Misugusugu kituo hicho ni baada ya kongowe. Kwenye kituo cha daladala upande wa kushoto kuna njia inayoelekea kwenye machimbo ya mchanga ndiyo unafuata hiyo. Ila machimbo na kiwanda cha nondo viko kwa mbele zaidi. Eneo lenyewe liko kwa nyuma kabla hujafika kwenye machimbo ya mchanga
Kuna umbali gani kwenye viwanja hadi check point ?
 
Hapana hiyo niliyoiweka ni bei ya dharura mimi ni mmiliki siyo dalali. Eneo lile bei halisi 20 kwa 20 inaanzia 3m. Hata serikali ya mtaa wanatulaumu tunavyouza 20 kwa 20 2m wanaona tunawanyima mapato kwasababu wenyewe ndio wanasimamia na kuratibu mauziano. Na sisi tuna dharura
20*20 milioni moja, nije ??
 
Unaweza kutuma google map. Mimi nipo kwa Kipofu, ningependa kuwa mteja wako
 
Umbali gani au km ngapi kutoka Morogoro road?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo shule siijui ilipo ila ni Misugusugu unaingilia wanapopaki malori unafuata njia inayokwenda kwenye machimbo ya mchanga ni about 2km kutoka Morogoro road
Unafika waamuzi secondary?
 
Hiyo shule siijui ilipo ila ni Misugusugu unaingilia wanapopaki malori unafuata njia inayokwenda kwenye machimbo ya mchanga ni about 2km kutoka Morogoro road
Unainglia pale Camel , kwenye ile njia inaelekea kwenye Kanisa Katoliki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…