Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna punguzo kubwa la bei kwa anayehitaji kuchukua heka moja ama nusu heka. Unapata punguzo la 40% kwa heka moja na punguzo la 30% kwa nusu heka.
Eneo liko sehemu nzuri na potential sana. Hutajuta kulinunua. Na kwa bei hii hata ukiamua kuliuza taratibu baada ya muda mfupi utapata faida nzuri tu. Kwa maelezo zaidi nipigie 0755401051
Karibu ujipatie viwanja vizuri maeneo ya Kibaha Misugusugu. Viwanja tambarare kabisa. Viwanja viko dakika 10 kutoka Morogoro Road kwa gari rough road. Mazungumzo ya bei yapo
25x25 bei 3m
20x25 bei 2.5m
20x20 bei 2m
Huduma za kijamii zipo karibu. Mawasiliano zaidi
Eneo ni langu nauza kwa dharura hakuna dalali
View attachment 1514928View attachment 1514929View attachment 1514930
Kuna punguzo kubwa la bei kwa anayehitaji kuchukua heka moja ama nusu heka. Unapata punguzo la 40% kwa heka moja na punguzo la 30% kwa nusu heka. Eneo liko sehemu nzuri na potential sana. Hutajuta kulinunua. Na kwa bei hii hata ukiamua kuliuza taratibu baada ya muda mfupi utapata faida nzuri tu. Kwa maelezo zaidi nipigie 0755401051
Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu. Eneo lipo km 2 kutoka Morogoro road. Dk 5 hadi 10 kwa gari kwenye barabara ya vumbi.
Ni eneo zuri na tambarare. Linafaa kwa kilimo, ufugaji na hata makazi kwani kuna watu wameanza kujenga huko.
20 kwa 20 bei 1.8m
20 kwa 25 bei 2.3m
25 kwa 25 bei 2.8m
Unaweza kukatiwa pia nusu heka ama heka bei maelewano. Ni eneo langu halina udalali nauza kwa dharura.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051. KARIBUNI SANAView attachment 1548795View attachment 1548796View attachment 1548797
Bei ya punguzo ndo Bei gan hiyo?Karibuni kwa bei ya punguzo