Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

Karibu ujipatie viwanja kwa bei ya punguzo kubwa. Eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo karibu.

20x20 bei 1.8m
20×25 bei 2.3m
25x25 bei 2.8m

Eneo linafaa kwa kufuga ama makazi. Waweza kuunganisha viwili ama zaidi utapata punguzo la bei. Hakuna udalali ni mali yangu.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051/0629957488

Screenshot_20201109-123718_WhatsApp.jpg
Screenshot_20201007-093531_WhatsApp.jpg
 
Karibu ujipatie viwanja kwa bei ya punguzo kubwa. Eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo karibu.

20x20 bei 1.8m
20×25 bei 2.3m
25x25 bei 2.8m

Eneo linafaa kwa kufuga ama makazi. Ukitaka heka ama nusu heka bei maelewano. Hakuna udalali ni mali yangu nauza kwa dharura.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051

Eneo bado kubwa
 
Bado vipo kuona ni bure unapelekwa
 
Yani unampangia mtu bei ya kuuza mali yake?
Ni balaaa mkuu. Bado vipo anayeweza kunikomboa na dharura yangu tuwasiliane. Ardhi ni hazina isiyooza kuna siku itakusaidia na wewe kwenye dharura
 
Jumamosi kutakuwa na safari ya kwenda kuona eneo karibuni sana kwa mawasiliano 0755401051
 
Kwa anayetaka kuja kuona kesho saa nane tunakutana Mbezi mwisho nipigie kwa maelezo zaidi
 
Ni wiki nyingine njema eneo bado lipo la kutosha linauzwa kwa bei nzuri. Karibu ujionee kuona ni bure
 
Asanteni kwa mnaoendelea kupitia tangazo hili na wale mnaopiga simu kupata maelezo zaidi. Jumamosi hii kutakuwa na safari tena ya kwenda kuangalia eneo bado kubwa karibuni wenye nafasi piga simu 0755401051 ili tujumuike pamoja. Tafadhali usikose fursa hii.
 
Asanten mnaokuja kuangalia eneo na wengine karibuni. Nunua eneo ama nyumba kipindi cha mvua ili ujue kama vipo eneo salama lisilo na maji. Viwanja vipo eneo salama kabisa . Karibu ujionee bei rahisi mno. Piga simu 0755401051
 
Karibu ujipatie viwanja kwa bei ya punguzo kubwa. Eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo karibu.

20x20 bei 1.8m
20×25 bei 2.3m
25x25 bei 2.8m

Eneo linafaa kwa kufuga ama makazi. Ukitaka heka ama nusu heka bei maelewano. Hakuna udalali ni mali yangu nauza kwa dharura.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051

Watu wanauza sana assets zao siku hizi. Dharura, dharura, dharura! Kweli maisha magumu sana. Bwana yule shikamoo. Tunaishi kama mashetani.
 
Watu wanauza sana assets zao siku hizi. Dharura, dharura, dharura! Kweli maisha magumu sana. Bwana yule shikamoo. Tunaishi kama mashetani.
Ndo hivyo mkuu shida haina adabu na wala haipigi hodi!
Tena tunauza kwa bei ya rahisi mno kinyume na matarajio uliyojiwekea mwanzo
 
Back
Top Bottom