Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eka moja bei gani?Karibu ujipatie viwanja kwa bei ya punguzo kubwa. Eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo karibu.
20x20 bei 1.8m
20×25 bei 2.3m
25x25 bei 2.8m
Eneo linafaa kwa kufuga ama makazi. Ukitaka heka ama nusu heka bei maelewano. Hakuna udalali ni mali yangu nauza kwa dharura.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051
sawa nashukuruUnapata mpaka 13m mkuu
mimi binafsi nimeshashindwa, nikicompare bei yake na eneo lilipo na maeneo mengine ambayo ni prime kuliko hapoKaribu sana hatutashindwana
We jamaa kavu sanaMKUU unaharibu biashara. mbona hapa miembe saba tunauza 20 kwa 20 kwa milioni 4
bro nahitaji kuanzia eka 1, siyo high density. Kama ingekuwa nje ya dar cbd ningefikiria kuchukua eka 3 na maongezi yangekuwepoKaribu basi uchukue 20x20 kwa bei ya 1.8m waweza kuunganisha hata zaidi ya kimoja
Ni hili eneo jirani na akipokuwa akiishi yule mzee aliyekuwa akifyatua tofari hapo njia ya kuanza kwenda kiwandani kwa wahindi?Upande wa kushoto unaingilia shell ya camel