Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

Anayetaka kwenda kuona kesho nitakuwa huko tuwasiliane kwa namba 0685401051 karibuni mjionee
 
Viwanja vinauzwa vimebaki vinne eneo la Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Ukubwa wa 20x20 bei 1.8m. Eneo ni zuri na tambarare. Huduma za kijamii zipo karibu. Waweza kuunganisha hata zaidi ya kiwanja kimoja. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0685401051
Screenshot_20210304-083652_Gallery.jpg
Screenshot_20201007-093531_WhatsApp.jpg
Screenshot_20201007-093547_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom