Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

nitakaribia tena kama bei zitakuwa reasonable
Sawa 20x20 kwa bei ya 1.8m sio reasonable mkuu? We unadhani kwa eneo lililo umbali wa 2km kutoka Morogoro road bei resonable kwa 20x20 ni ipi?
 
labda tuwekane sawa, mimi ninamiliki viwanja viwili kata ya somangila kigamboni kimoja ni 1600 sqm na kingine ni 2100 sqm eneo la bamba beach, kutoka baharini ni mita 200. sasa ninaposema prime area naomba unielewe na pia huko tunanunua mashamba na siyo hicho unacho kitangaza, endeleeni kuwaibia waasiojua thamani ya ardhi kwa kisingizio cha umbali wa barabara kuu.
 
Dah Kuwaibia tena? Hakuna anaye lazimishwa kila mtu ana akili yake anakuja kuona akiridhika ananunua la hakuridhika anaacha. Haya asante lakini kwa maneno yako!
 
Hujashitukia mchezo hapo?
Wewe nawe mimi sio dalali mchezo gani unaousema hapo. Waliokuja kuona na kununua wameona hakuna cha udalalli ama nini. Kila mtu ana akili zake. Anakuja anaona akiridhika ananunu la hakuridhika anaacha hakuna anayeshikiwa bunduki kununua. Msipende kuwa na mawazo hasi muda wote sio vizuri. Waache wenzio wajipatie ardhi sio kwasababu wewe hutaki basi wote wakose kwa maneno yako. Mmh yaani binadamu!
 
Jipatie kiwanja kizuri bei nafuu utanishukuru baadaye
 
Karibuni mkajionee viwanja vipo sehemu nzuri
 
Vimebaki vitatu vya 20x20 na viwili vya 25x25 karibuni sana waweza kuunganisha zaidi ya kimoja
 
😛😛😛😛😛 Mjini hapa, lenu moja kama sio wewe mwenyewe
Hakuna anayelazimishwa kununua mkuu. Kila mmoja anajua bei ya viwanja eneo husika. Unakuja mwenyewe kwa hiari yako unaangalia eneo unatafakari bei ukiona inakidhi unachukua. Ukiona bei haiendani na eneo ama hujapapenda unaacha. Uzuri wa kitu macho ya mtu.
Kuna wengi wamekuja wamechukua wengine wamekuja hawajachukua sasa uzungukwe kwa kipi na wewe ni mtu mzima mwenye akili zako? Au mnasikia raha kuharibia watu ridhiki zao.
Unajua ni wangapi kupitia comment yako umewakatisha tamaa unapata faida gani? Tafakari chukua hatua unachofanya sio cha kiungwana halafu si cha kweli unajisikiaje sasa? Kuna wengine kwasababu tu yeye hataki kupata basi atahakikisha na wengine hawapati ebu tubadilike roho mbaya haijengi.
 
Sure
 
Vimebaki vinne vya 20x20 bei 1.8m waweza kuuunganisha viwili ama zaidi. Baada ya hapo hatuuzi tena, mawasiliano 0755401051 au 0685401051 karibuni.
 
Back
Top Bottom