Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza viwanja wa kibaha ni wajinga na matapeli sana!! Nchi nzima watu wanauza viwanja kwa kupima kwa mita nyie bado mpo kwenye miguu serious??Miguu 20*20 bei million tano
Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa
Piga: 0789 149 581
Kwa kipimo cha miguu? HopelessHazina ni documents tu za mauziano.. Mnunuzi atafuatilia mwenyewe hati ya wizara
Nikisikia kiwanja kinapimwa kwa miguu badala ya mita huwa napita mbali sanaMiguu 20*20 bei million tano
Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa
Piga: 0789 149 581
Kwanini msitumie mita? Shida nini?Sio wote matapeli ndugu, vipimo ni hivyo hivyo vya mita
Msishupaze mafuvu hayo badilikeni nyie kimaSawa tu