Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ni vizuri sana unaposema ni mita za mraba 1500 ni bora ukasema upana ni mita ngapi na urefu ni mita ngapi. Hii itasaidia maana wengine wanapenda viwanja vipana sana kuliko virefu na wengine wanapenda viwanja virefu kuliko vipana.
Ni ushauri tu!!
Ni ushauri tu!!