Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kinondoni Mabwepande

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kinondoni Mabwepande

Samahani wana JamiiForums nataka kununua gari aina ya Mistubishi Outlander sasa nawaza upatikanaji wa vifaa isije kuwa shida badae nimechoka kutumia Toyota.

Naombeni ushauri
 
Samahani wana JamiiForums nataka kununua gari aina ya Mistubishi Outlander sasa nawaza upatikanaji wa vifaa isije kuwa shida badae nimechoka kutumia Toyota.

Naombeni ushauri
Mkuu vuta chuma hiyo spea zipo za kutosha kbc
 
GHOROFA LINAUZWA MSASANI

MAELEZO
Ni ghorofa lenye appartments 13 na zote zina wapangaji.

UKUBWA
Corner plot ya sqm525

NYARAKA ZA UMILIKI
Hati miliki ya kisheria

MAHALI ILIPO
Msasani kimweru avenue
Opposite ya capetown fish market

BEI
Dollar milion 3.5 kama bei kianzio
Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya uthamini 2013
(MAZUNGUMZO YAPO NJOO NA BEI YAKO)

NOTE; kuoneshwa site ni bure kabisa muda wowote gharama zote atalipa muuzaji tu.
MAZUNGUNZO YA BEI UTAZUNGUMZA NA MMILIKI MOJA KWA MOJA.

Kwa maelezo zaidi Dm au
Follow us on Instagram @dalalimsomitz
Facebook, JamiiForums ,youtube/DALALIMSOMI
Calls&whatsapp
0744336336
0672826826
Email: info@dalalimsomi.co.tz
Website: www.dalalimsomi.co.tz
Au fika ofisini lufungira,Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.

View attachment 1722617
View attachment 1722618
View attachment 1722619
View attachment 1722620
View attachment 1722621
View attachment 1722622
kama vile ofisi za yanga
 
Nakumbuka ilikuwa lodge ya kina muthie mengi na kijana wa bakhresa,wote marehemu
Walikuwa wanakodi apartment miezi6,kina rayc wamepigiwa sana humo,jaqueline nk nk
 
Mradi huo ukiupata we ni kula hela tu
Za kodi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Si mpaka lijae! Hizi nyumba za $1000+ kujaa sio kazi rahisi. Bilioni 8 unajenga nyumba za 80m mia moja. Kwa kifupi unaenda nje ya mji unajenga Avic Town yako.
Nyumba 100 weka Kodi ya kizalendo 500,000 tu kwa mwezi utakuwa unapata 50m kila mwezi. Kwa mwaka 600m chini ya miaka 15 hela imerudi.
 
Mbona interest ya benki hujaweka
 
GHOROFA LINAUZWA MSASANI

MAELEZO
Ni ghorofa lenye appartments 13 na zote zina wapangaji.

UKUBWA
Corner plot ya sqm525

NYARAKA ZA UMILIKI
Hati miliki ya kisheria

MAHALI ILIPO
Msasani kimweru avenue
Opposite ya capetown fish market

BEI
Dollar milion 3.5 kama bei kianzio
Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya uthamini 2013
(MAZUNGUMZO YAPO NJOO NA BEI YAKO)

NOTE; kuoneshwa site ni bure kabisa muda wowote gharama zote atalipa muuzaji tu.
MAZUNGUNZO YA BEI UTAZUNGUMZA NA MMILIKI MOJA KWA MOJA.

Kwa maelezo zaidi Dm au
Follow us on Instagram @dalalimsomitz
Facebook, JamiiForums ,youtube/DALALIMSOMI
Calls&whatsapp
0744336336
0672826826
Email: info@dalalimsomi.co.tz
Website: www.dalalimsomi.co.tz
Au fika ofisini lufungira,Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.

View attachment 1722617
View attachment 1722618
View attachment 1722619
View attachment 1722620
View attachment 1722621
View attachment 1722622
Kwa mashabiki wa simba kama unatufokea mbona.
Almost 8bill kwa Rangi hiyo.
Acha utani
 
Usikute hapo dalali kaongeza hata usd mil 1 maana kwa tamaa hawa
 
Unataka kununua gari ila unawaza spare? Kwani unakaa sehemu gani? Maana gari haiharibiki kila siku...
 
Baadhi ya wateja wamekuwa wakihisi labda kimbiji ni mbali ndio maana tunauza bei nafuu viwanja vya kigamboni kimbiji ambavyo vimepimwa na baadhi ya wateja tayari wana hati miliki.

MAJIBU.
Kimbiji sio mbali kama baadhi ya wateja wanavyohisi.

Umbali wa kutoka kimbiji mpaka fery ni kilomita 30 umbali ambao ni sawa na kutoka posta mpaka mbweni au umbali wa kutoka posta mpaka bunju na huku ni mbali zaidi kuliko kimbiji.

Hivyo kimbiji ni sehemu nzuri inayokuwa kwa kasi sana. Pia ukiwa site unaiona bahari ya hindi. Umeme tayari umefika site. Na baadhi ya wateja tayari wameanza kujenga.

SIFA ZA MRADI.
Viwanja vimepimwa na vinauzwa milion 3 tu kwa sqm500 na malipo ni kidogo kidogo ndani ya miezi 6.

Kwa nini vinauzwa bei nafuu?

JIBU.
Bei elekezi ni Tsh 14,000 kwa sqm 1 hivyo kiwanja cha sqm 500 ilitakiwa kuuza milion 7 LAKINI SISI TUNAUZA MILION 3 tu ili kila mtu mwenye nia aweze kununua.

ANGALIZO.
Kwa bei hii hatutoi hati miliki ila utachangia Tsh 500,000 kwa ajili ya maandalizi ya hati ya kiwanja chako.

Kwa maelezo zaidi Dm au
Calls&whatsapp
0744336336
0672826826
Email:info@dalalimsomi.co.tz
Follow instagram: @dalalimsomitz
Follow twiter/@msomidalali

IMG_3128.jpg

IMG_3129.jpg

IMG_2729.jpg

IMG_2728.jpg
 
Back
Top Bottom