Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kinondoni Mabwepande

#Repost @msomirealestatebrokersltd with @make_repost
・・・
KIWANJA KINAUZWA

LOCATION
Kigamboni gezaulole
Mtaa wa mnarani

UMBALI
Kilomita 13 kutoka ferry
Kilomita 1 kutoka barabara ya lami

HUDUMA ZA KIJAMII
Maji ya dawasco
Umeme upo

UKUBWA
Sqm1396 (40 kwa 35)
Robo ekari na kidogo
NYARAKA.
Hati miliki ya kisheria ipo

BEI
Tsh milion 50 tu
Unaweza kulipa kidogo kdogo
Unaanza 50% ndani ya miezi minne

Calls&whatsapp
0672826826
0744336336
Email: info@dalalimsomi.co.tz









 
Duh so Buyuni ni mbali kuliko kimbiji
 
VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI
KIMBIJI PROJECT PHASE VII

MAELEZO
Ni mradi wa viwanja vilivyopangwa na kupimwa vizuri.

UKUBWA
Kuanzia sqm 500

LOCATION
Kigamboni kimbiji
(Mtaa wa golani, nyuma ya jengo la serikali ya mtaa)

UMBALI
Kilomita 30 kutoka ferry
Kilomita 2 kutoka bahari ya hindi
Mita 100 kutoka barabara ya mwasonga inayokwenda kibada.

HUDUMA ZA KIJAMII
Maji na umeme vipo

DOCUMENTS
Ukimaliza kulipa unatengenezewa hati miliki(title deed)

MALIPO
Tsh milion 3 tu
(Unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 6)

MKATABA
Utapewa mkataba wa mwanasheria pamoja na barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaa.

Kwa maelekezo zaidi na kufika site
Dm au
Calls&whatsapp
0766200818
0621423298
Email: info@dalalimsomi.co.tz
Website: www.dalalimsomi.co.tz
Instagram @mrviwanjatz
Facebook,msukwa Viwanja
Au fika ofisini kwetu katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor,lufungira ,Mwenge nyuma ya calabash pub








 
Swali fikirishi. Kwanini katika maeneo mapya yenye ardhi ya kutosha kama huko Kimbiji Kigamboni bado mnapima viwanja vya 500sqm? Hamuoni kama huo ni uharibifu kwa kupanga miji yenye makazi ya kubanana na kutoachiana nafasi?

Ni ushauri tu ikiwezekana katika maeneo yenye ardhi ya kutosha basi angalau mngeanza kupima kuanzia 800sqm(27*27)
 
Kuna sehem vimepimwa Sqm 500 ilaah kuna eneo jingine kama unaelekea kigamboni buyuni huko pia vipo vy sqm 800
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…