Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Nunua kiwanja acha kununua wadadaNakazia
Utarogeka hadi ukome kama wataka kutupangiaNunua kiwanja acha kununua wadada
Wadada hapa Buguruni ni 3000, Naomba hicho kiwanja cha AftatuNunua kiwanja acha kununua wadada
Sawa katoto kazuriNauza viwanja kwa bei nafuu .
10 kwa 10 ml 1500000
15 kwa 10 ml 2500000
Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami
Ndani kwa ndani
Ml laki 1 unapata 10 kwa 10
20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml
Heka
Inaanza ml 50 nusu heka ml 20
Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5 kufikia maeneo . Maji yapo umeme na ni udongo mwekundu.
0699-227942
Mbona tangazo la kimchongo mchongo. Ukisema roundabout ya Njiro Mkonoo ni vitu viwili tofauti.Nauza viwanja kwa bei nafuu .
10 kwa 10 ml 1500000
15 kwa 10 ml 2500000
Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami
Ndani kwa ndani
Ml laki 1 unapata 10 kwa 10
20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml
Heka
Inaanza ml 50 nusu heka ml 20
Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5 kufikia maeneo . Maji yapo umeme na ni udongo mwekundu.
0699-227942
Siicho cha 1mlWadada hapa Buguruni ni 3000, Naomba hicho kiwanja cha Aftatu
Njoo uone acha kunitesaMbona tangazo la kimchongo mchongo. Ukisema roundabout ya Njiro Mkonoo ni vitu viwili tofauti.
Sawa katoto kabaya
Unajua kusoma, kuandika na kuelewa? 1ml ni sawa na 3000?Siicho cha 1ml
Najua kuandikaUnajua kusoma, kuandika na kuelewa? 1ml ni sawa na 3000?
Lamomy najitolea kukulipia kiwanja, fanya kuchaguaNauza viwanja kwa bei nafuu .
10 kwa 10 ml 1500000
15 kwa 10 ml 2500000
Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami
Ndani kwa ndani
Ml laki 1 unapata 10 kwa 10
20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml
Heka
Inaanza ml 50 nusu heka ml 20
Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5 kufikia maeneo . Maji yapo umeme na ni udongo mwekundu.
0699-227942
Mi nakupa hicho cha mil 2500000, lete account chap.Nataka iko cha million 50 boss 🤣🤣🤣
Nawaza kimahesabu.View attachment 2895377View attachment 2895378Nauza viwanja kwa bei nafuu .
10 kwa 10 ml 1500000
15 kwa 10 ml 2500000
Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami
Ndani kwa ndani
Ml laki 1 unapata 10 kwa 10
20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml
Heka
Inaanza ml 50 nusu heka ml 20
Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5 kufikia maeneo . Maji yapo umeme na ni udongo mwekundu.
0699-227942
Huwezi kupata heka iliyoko full ukanunua kwa hiyo bei lazima uambiwe 50 na punguzo ukaambiwa 48 ila nusu heka sehemu hii utanunua 20ml pahal pengine hazishikanagiNawaza kimahesabu.
Heka unauza 50m
Nusu heka unauza 20m
Sasa mtu akichukua nusu heka mbili (20m×2=40m), maana yake atakuwa amenunua heka moja kwa shilingi 40m.
Sasa nini logic ya kuuza heka shilingi 50m, wakati nusu heka mbili (sawa na heka moja) atainunua kwa shilingi 40m?
Umekaziwa,tulia,mimi nina cha kwangu kipo olasiti,chini kidogo ya kanisa la mabomu,mita 120 kutoka barabara kuu,kina mita 20×15 niungie kwa 8m dada.Nunua kiwanja acha kununua wadada